Labani og
JF-Expert Member
- Sep 15, 2020
- 19,637
- 29,473
WACHEZAJI WA YANGA WAAHIDI KUMPASUA SIMBA MACHI 8.
.
Kiungo Mshambuliaji wa Klabu ya Yanga,Stephanie Aziz Ki amesema anatarajia kumpatia zawadi ya kusherehekea sikukuu ya kuzaliwa Mbunge ambaye pia ni shabiki wa Yanga,Mh Antony Mavunde tarehe 8 Mwezi huu ambapo ni mechi kati ya Yanga dhidi ya Simba.
.
Kwa upande mwingine Kiungo Khalid Aucho naye ameahidi kumpatia zawadi Mbunge huyo akiandika kupitia ukurasa wake rasmi wa Instagram kwamba ile zawadi aliyoiomba kwaajili ya Birthday yake ataipata Machi 8 kwa Mkapa.
NB....makolo ....msahau kumfunga Yanga [emoji23][emoji23]
Sent from my TECNO KG5j using JamiiForums mobile app