Wachezaji wa Yanga wamkataa Nadir Haroub (Cannavaro) kwa kuwa ni mbea na mnafiki

...na tena canavaro aache mtindo wake wa kuchinja mbuzi kila jumanne...

Hawezi kuacha kwani ni Mpenda ushirikina mno na ndiyo amekuwa akiwaumiza sana Wachezaji wa Yanga na hasa wale waliokuwa wakiitwa Timu ya Taifa na ambao hucheza nafasi moja ya yake ya namba tano ( 5 ) na sishangai hata alivyoachwa Stars kuna Wachezaji walifanya sherehe kwani alikuwa akiwaumiza mno Kiushirikina. Wewe kama tu alishaanza kumroga Nahodha wa sasa wa Stars Mbwana Samatta kwakuwa alinyang'anywa hiko cheo itakuwa kwa hawa wengine? Bahati nzuri hata Popa ( Mbwana Samatta ) nae kapikwa na katengenezwa sana Kindumba hivyo za Cannavaro zikawa zinadunda tu.
 
Ndumba zimeanza kuisha kwa canavaro hapa ndipo unapoona umuhimu wakumtegemea Mungu.
 
Labda hili swali kamuulize Babaako ambaye ndiye Mkuu wa Matahaira wote duniani anaweza kuwa katika nafasi nzuri ya kutujibu.
Naona mpaka vyeo vyao unavijua, na wewe uko nafasi gani?
 
Kamumsilimulie mkeo ucku baada ya kuogelea
 
Hivi Malinzi bado ni Rais wa TFF?
Maana ukiamini habari za watu humu JF Sports walioshuhudia au kuambiwa from reliable sources, basi leo TFF ingekuwa na Rais mwingine.
Mpira na hulka zetu !
 
Acha utoto!Lazima tujifunze kuwa kama wamiliki wa timu(to act like an owner) ingawa wachezaji huwa waajiriwa!Sasa watu wenye hii spirit huwa wanaonekana kama wasaliti.Na ndio maana watanzania tunakwama sana kwani ukikabidhiwa jukumu unafanya hujali sana kwa kuwa huenda si kitu chako.Hii ni spirit mbaya ambayo mimi nikikugundua unayo hata kama wewe ni best player nakutumbua.Maana lazima uwe predictable na siyo kuwa na makundi ya siri dhidi ya menrjimenti
 
Hivi Kwanini Kila Mnyama Anapomrarua Mtu Hawa Vyura FC wanakuwa Tafrani Kiasi Hichi?????
 
Daah bongo soka fitna,Canavaro pamoja na kucheza kote kwa jihadi,sasa anaundiwa jungu....pole yake.
 
umebalance sana hii story, kumne ndiye wewe Gentamycine wa Leaders eh?
 
Uzee umeshamfika huyo Canavaro wenu apumzike tu kucheza,,

Bila hivyo atawafungisha hadi mkome,,
 
...na tena canavaro aache mtindo wake wa kuchinja mbuzi kila jumanne...
Duuh,, bado anaendelea nayo hii tabia hadi sasa.

Sasa wachezeji wa Yanga ili waweze kujikinga na hii kafara basi watumie kwa wingi kujipaka mafuta ya Mbuzi yule wa Vatcan.
 
Ndumba zimeanza kuisha kwa canavaro hapa ndipo unapoona umuhimu wakumtegemea Mungu.
Siyo kweli Cannavaro ana miaka 35+

Kwenye mpira mchezaji akishafikisha umri huo lazima kiwango kishuke
 
Duuh,, bado anaendelea nayo hii tabia hadi sasa.

Sasa wachezeji wa Yanga ili waweze kujikinga na hii kafara basi watumie kwa wingi kujipaka mafuta ya Mbuzi yule wa Vatcan.
Wachezaji wa bongo 80% wanaamini ushirikina

Nimeshuhudia baadhi ya wachezaji wa Azam,mtibwa nk wakiendekeza ushirikina kwa kigezo eti wanajilinda

Wengi wanatoa ushuhuda wao.

Lakini ajabu Stars haijawahi kufanikiwa licha ya kuendekeza ushirikina huo

Tanzania ina wananchi wa ajabu sana wachezaji mpira,wanasiasa,wapenzi,wana ndoa wanaamini ndumba
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…