ha ha haaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaa .............mikia buana.simba ndio wanakula mshahara wa bure kagere analipwa milioni 12 kwa mwezi kwa ajili ya kucheza na LIPULI, NDANDA ambao hakuna mchezaji anaelipwa hata laki 5 kwa mwezi, C E O MSAUZI amekuja kupanga mikakati ya simba kuifunga NAMUNGO ya lindi , hahahaha
Hahaa [emoji2][emoji2][emoji2][emoji2]simba ndio wanakula mshahara wa bure kagere analipwa milioni 12 kwa mwezi kwa ajili ya kucheza na LIPULI, NDANDA ambao hakuna mchezaji anaelipwa hata laki 5 kwa mwezi, C E O MSAUZI amekuja kupanga mikakati ya simba kuifunga NAMUNGO ya lindi , hahahaha
Wachezaji wengi waliopo Yanga wanakula mshahara wa bure kabsaaa. Ukiwaangalia kwa jicho ambalo si la kishabiki utagundua wengi hawana vipaji,kontroo chumba kizima. Inashangaza timu inacheza dk 90 bila kona harafu uwanja wa nyumbani. Hii ni kashifa kwa timu kubwa km Yanga. Wachezaji waliopo wengi hawana hadhi ya kucheza Yanga Zahera anatupotezea mda tu hana lolote la maana,labda abaki km mhamasishaji wa michango.
simba ndio wanakula mshahara wa bure kagere analipwa milioni 12 kwa mwezi kwa ajili ya kucheza na LIPULI, NDANDA ambao hakuna mchezaji anaelipwa hata laki 5 kwa mwezi, C E O MSAUZI amekuja kupanga mikakati ya simba kuifunga NAMUNGO ya lindi , hahahaha
Majungu sio mtaji, iacheni Yanga na mafanikio yake
umenena hata huyu kocha pia ni tatizo!Wachezaji wengi waliopo Yanga wanakula mshahara wa bure kabsaaa. Ukiwaangalia kwa jicho ambalo si la kishabiki utagundua wengi hawana vipaji,kontroo chumba kizima. Inashangaza timu inacheza dk 90 bila kona harafu uwanja wa nyumbani. Hii ni kashifa kwa timu kubwa km Yanga. Wachezaji waliopo wengi hawana hadhi ya kucheza Yanga Zahera anatupotezea mda tu hana lolote la maana,labda abaki km mhamasishaji wa michango.
Nakuuliza swali molinga Ni wa Kwanza kukosa goli ndani ya sita nasubiri jibu lako[emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1635][emoji1635][emoji1635]Kwa kujituma kule, nadhani anastahili kulipwa malipo hayo. Mchezaji anacheza mechi 4 na kufunga magoli 6! Huwezi kumlinganisha na yule wa kwetu Molinga anayekosa goli ndani ya sita huku akiwa peke yake.
Zahera ahukumiwe mwisho was msimu siyo kwa mechi mbili tatu.Mimi ni shabiki wa Yanga! Ninaunga mkono hoja. Kuna umuhimu wa kulivunjilia mbali benchi la ufundi kama ilivyotokea enzi za babu Hans Van Der Pluijm. Timu haina muunganiko, wachezaji wanacheza kawaida sana kuliko hata msimu uliopita walipokuwa wakicheza kwa mali kauli.
Kocha anahusika moja kwa moja! maana ndiye aliyependekeza hao wachezaji wasajiliwe huku akiwaruhusu wachezaji wengi muhimu kwenye timu, kuondoka bila sababu za msingi na zenye mashiko.
Tate Mkuu unasema lile simtank la kikongo,hamna kitu paleKwa kujituma kule, nadhani anastahili kulipwa malipo hayo. Mchezaji anacheza mechi 4 na kufunga magoli 6! Huwezi kumlinganisha na yule wa kwetu Molinga anayekosa goli ndani ya sita huku akiwa peke yake.
Zahera ahukumiwe mwisho was msimu siyo kwa mechi mbili tatu.
Soccer haiko hivyo unavyotaka wewe.
Uongozi umempa malengo. Mwisho wa msimu jibu litakuwa wazi.
Nani asiyetaka ushindi?Malengo gani km sio ushindi? Malengo ya timu kubwa km Yanga ni kushinda kila mechi ndio sababu ya kusajili maproo wengi ili waisaidie timu ichukue ubingwa. Hakuna malengo mengine!!