Kamgomoli
JF-Expert Member
- May 3, 2018
- 1,896
- 4,058
Wachezaji wengi waliopo Yanga wanakula mshahara wa bure kabsaaa. Ukiwaangalia kwa jicho ambalo si la kishabiki utagundua wengi hawana vipaji,kontroo chumba kizima. Inashangaza timu inacheza dk 90 bila kona harafu uwanja wa nyumbani. Hii ni kashifa kwa timu kubwa km Yanga. Wachezaji waliopo wengi hawana hadhi ya kucheza Yanga Zahera anatupotezea mda tu hana lolote la maana,labda abaki km mhamasishaji wa michango.