Wachezaji wa Yanga wanakula mshahara wa bure tu

Wachezaji wa Yanga wanakula mshahara wa bure tu

simba ndio wanakula mshahara wa bure kagere analipwa milioni 12 kwa mwezi kwa ajili ya kucheza na LIPULI, NDANDA ambao hakuna mchezaji anaelipwa hata laki 5 kwa mwezi, C E O MSAUZI amekuja kupanga mikakati ya simba kuifunga NAMUNGO ya lindi , hahahaha
Hivi Yanga inacheza mfumo gani?
 
Back
Top Bottom