barafuyamoto
JF-Expert Member
- Jul 26, 2014
- 32,378
- 29,739
Kaseke ni bora zaidi ya ngasa kama wa kubaki kati yake na ngasa basi ni kaseke wa kubakiVipi kaseke unamwonaje
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Kaseke ni bora zaidi ya ngasa kama wa kubaki kati yake na ngasa basi ni kaseke wa kubakiVipi kaseke unamwonaje
Najua wakati unaandika haya ulikuwa umekalia tako moja.
Hahaha hii nchi ndio maana mpira hauendelei Yani mchezaji abaki kwa kugongesha besela !!??[emoji1][emoji1][emoji1][emoji1]Unakumbuka goli alilokosa yikpe dhidi ya mwadui?,ile pasi ilitoka kwa deus,yanga vs simba deus anagongesha besela afu unatka aondoke kweli?
Thomas Karume ,
Mchawi wewe mkuu.
Kikosi chote na benchi la ufundi lote ni wa kuondoka. Hamna timu pale!
Hahaha hii nchi ndio maana mpira hauendelei Yani mchezaji abaki kwa kugongesha besela !!??[emoji1][emoji1][emoji1][emoji1]
Hapo kwa Yikpe nakupinga kwa nguvu huyu Jamaa anatufaa coz ni mvumilivu,1.Yikpe
2.Molinga
3.Tariq
4.Ngasa
Hapo kwa Yikpe nakupinga kwa nguvu huyu Jamaa anatufaa coz ni mvumilivu,
Ushawahi kusikia Jamaa kaigomea timu yetu kwenye swala la mshahara.
Ngassa abaki1.Yikpe
2.Molinga
3.Tariq
4.Ngasa
Wazee wa kupigwa bomaNajua wakati unaandika haya ulikuwa umekalia tako moja.
Ataongeza mkataba
Yikpe akigoma nani atamnunua,amekuwa humble ili asiachwe
Ngasa ni mchezaji wa heshima wa Yanga. Nadhani anastahili kustaafia hapo kama ilivyokuwa kwa Cannavaro1.Yikpe
2.Molinga
3.Tariq
4.Ngasa
Hapo kwa Yikpe nakupinga kwa nguvu huyu Jamaa anatufaa coz ni mvumilivu,
Ushawahi kusikia Jamaa kaigomea timu yetu kwenye swala la mshahara.