Wachezaji wa Yanga wanaopaswa kupigwa panga dirisha la usajili

Hili dudu linajiita Yikpe nikiingia tu uwanjani huwa nazima Tv nalala.
 
Yikpe akigoma nani atamnunua,amekuwa humble ili asiachwe
Hapo kwa Yikpe nakupinga kwa nguvu huyu Jamaa anatufaa coz ni mvumilivu,

Ushawahi kusikia Jamaa kaigomea timu yetu kwenye swala la mshahara.
 
Yikpe
Molinga
Sibomana
Tariq


Kwa Mkopo
Adeyun
Kabwili


Atafutwe

Top striker awe Finisher mzuri mithili ya Ambani
Winga wa maana
Beki 3 (japo naskia Eric Rutanga kasaini)
Namba anayocheza Yondani atafutwe Beki mwenye Kariba Kama yake roho ngumu hv!!
 
Msimu ujao wachezaji wanne tu wa kikosi hiki ndio wawe wanaanza..Metacha,Moro,Pappy na Morrison...nafasi saba zijazwe na watu wapya
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…