Wachezaji wa Yanga wawa gumzo duniani mechi za Afcon jana

Labani og

JF-Expert Member
Joined
Sep 15, 2020
Posts
19,637
Reaction score
29,473
Yanga imekuwa gumzo huko duniani ambapo vyombo vingi vya habari pamoja na wachambuzi wanalipongeza benchi la ufundi la yanga Baada ya nchi nyingi kushinda ....huku wachezaji wa Yanga / waliowahi kupitia Yanga wakifunga

Djigui diarra kaondoka na cleansheet pamoja na ushindi akiwa na Mali [emoji1159], Duke Abuya anaweka kamba ya ushindi ya Kenya [emoji1139], Mudathr Yahya anaweka kamba ya ushindi kwa Tanzania [emoji1241] Halafu Kennedy anaweka kamba na assist moja akiwa na zambia

Hii yanga itakuwa workshop ya Soka Africa
1723453018968.jpg
 
YANGA is an Icon kwasasa. Taifa Stars ikitaka kufanikiwa na kufika mbali basi ni sharti iwatumie wachezaji wa Yanga

Beki ya Taifa Stars ilibebwa na Wachezaji wa Yanga yaani Dickson Job, Bakari Mwamnyeto na Ibrahim Baka, pamoja na Mfungaji Mudathir
 
Japo makolo hawaelewi
 
Nyie ndio mnasababisha Taifa stars kuchukiwa upumbavu huu huu wengine waione ni kama Yanga ,wengine waione ni timu ya serikali na wengine waione timu ya kujuana juana sasa hapo kutakua na mapenzi na timu? Kwani tulivyotoka droo juzi kati hapa uliyasema haya kuwa wachezaji wa Yanga wamesababisha tudroo? Acheni umaandazi na utoto
 
Mafanikio ya taifa stars huwezi yaseparetisha na yanga
 
Nyie ndio mnasababisha Taifa stars kuchukiwa upumbavu huu huu wengine waione ni kama Yanga ,wengine waione ni timu ya serikali na wengine waione timu ya kujuana juana sasa hapo kutakua na mapenzi na timu? Kwani tulivyotoka droo juzi kati hapa uliyasema haya kuwa wachezaji wa Yanga wamesababisha tudroo? Acheni umaandazi na utoto
Mimi ni shabiki wa Yanga lakini huwa nachukizwa na ujinga ujinga walionao wenzangu. Yaani timu ni ya Taifa halafu mbumbumbu mmoja anasifia Yanga.
 
Yanga imekuwa gumzo huko duniani ambapo vyombo vingi vya habari pamoja na wachambuzi wanalipongeza benchi la ufundi la yanga Baada ya nchi nyingi kushinda ....huku wachezaji wa Yanga / waliowahi kupitia Yanga wakifunga

Djigui diarra kaondoka na cleansheet pamoja na ushindi akiwa na Mali [emoji1159], Duke Abuya anaweka kamba ya ushindi ya Kenya [emoji1139], Mudathr Yahya anaweka kamba ya ushindi kwa Tanzania [emoji1241] Halafu Kennedy anaweka kamba na assist moja akiwa na zambia

Hii yanga itakuwa workshop ya Soka Africa View attachment 3092994
Dunia ya kwampalange labda
 
Mimi ni shabiki wa Yanga lakini huwa nachukizwa na ujinga ujinga walionao wenzangu. Yaani timu ni ya Taifa halafu mbumbumbu mmoja anasifia Yanga.
Tokea lini ukawa yanga wewe au umeamia juzi🤣🤣
 
Mimi ni shabiki wa Yanga lakini huwa nachukizwa na ujinga ujinga walionao wenzangu. Yaani timu ni ya Taifa halafu mbumbumbu mmoja anasifia Yanga.
Huyo mzoee ndio nyuzi zake zilivyo, hajawahi kuandika nyuzi kama mwana michezo bali ni kama shabiki wa Yanga hata ni jambo la utaifa
 
Naunga mkono hoja, Yanga sasa kinakuwa chungu cha kupika mafundi wa Mpira.
Nilipenda TFF impe Gamondi kandarasi ya part time consultancy ya kufundisha Taifa Stars kukaba kwa kasi kwa pamoja kama ugomvi na kushambulia kwa ile spidi yao ya pasi za uhakika za Max, Pacome na Ki.

Huwa natamani Stars hii icheze filosofia ya Yanga sababu imesheheni wachezaji vijana wenye pumzi. Au kama vipi Morocco aige hiyo filosofia ya total football.
 
Back
Top Bottom