Wachezaji wa Yanga wawa gumzo duniani mechi za Afcon jana

Wachezaji wa Yanga wawa gumzo duniani mechi za Afcon jana

Huyo mzoee ndio nyuzi zake zilivyo, hajawahi kuandika nyuzi kama mwana michezo bali ni kama shabiki wa Yanga hata ni jambo la utaifa
Mkuu Sasa unataka ..tushindwe kutoa maua
 
Naunga mkono hoja, Yanga sasa kinakuwa chungu cha kupika mafundi wa Mpira.
Nilipenda TFF impe Gamondi kandarasi ya part time consultancy ya kufundisha Taifa Stars kukaba kwa kasi kwa pamoja kama ugomvi na kushambulia kwa ile spidi yao ya pasi za uhakika za Max, Pacome na Ki.

Huwa natamani Stars hii icheze filosofia ya Yanga sababu imesheheni wachezaji vijana wenye pumzi. Au kama vipi Morocco aige hiyo filosofia ya total football.
Japo tunatamani elemu kama hizi na makolo ....wazipate
 
Back
Top Bottom