Japo makolo hawaelewiYANGA is an Icon kwasasa. Taifa Stars ikitaka kufanikiwa na kufika mbali basi ni sharti iwatumie wachezaji wa Yanga
Beki ya Taifa Stars ilibebwa na Wachezaji wa Yanga yaani Dickson Job, Bakari Mwamnyeto na Ibrahim Baka, pamoja na Mfungaji Mudathir
Mafanikio ya taifa stars huwezi yaseparetisha na yangaNyie ndio mnasababisha Taifa stars kuchukiwa upumbavu huu huu wengine waione ni kama Yanga ,wengine waione ni timu ya serikali na wengine waione timu ya kujuana juana sasa hapo kutakua na mapenzi na timu? Kwani tulivyotoka droo juzi kati hapa uliyasema haya kuwa wachezaji wa Yanga wamesababisha tudroo? Acheni umaandazi na utoto
Na wakifungwa na kufanya vibaya tuwalaumu Yanga pia na sio kocha wala benchi lake sivyo?Mafanikio ya taifa stars huwezi yaseparetisha na yanga
Mimi ni shabiki wa Yanga lakini huwa nachukizwa na ujinga ujinga walionao wenzangu. Yaani timu ni ya Taifa halafu mbumbumbu mmoja anasifia Yanga.Nyie ndio mnasababisha Taifa stars kuchukiwa upumbavu huu huu wengine waione ni kama Yanga ,wengine waione ni timu ya serikali na wengine waione timu ya kujuana juana sasa hapo kutakua na mapenzi na timu? Kwani tulivyotoka droo juzi kati hapa uliyasema haya kuwa wachezaji wa Yanga wamesababisha tudroo? Acheni umaandazi na utoto
Dunia ya kwampalange labdaYanga imekuwa gumzo huko duniani ambapo vyombo vingi vya habari pamoja na wachambuzi wanalipongeza benchi la ufundi la yanga Baada ya nchi nyingi kushinda ....huku wachezaji wa Yanga / waliowahi kupitia Yanga wakifunga
Djigui diarra kaondoka na cleansheet pamoja na ushindi akiwa na Mali [emoji1159], Duke Abuya anaweka kamba ya ushindi ya Kenya [emoji1139], Mudathr Yahya anaweka kamba ya ushindi kwa Tanzania [emoji1241] Halafu Kennedy anaweka kamba na assist moja akiwa na zambia
Hii yanga itakuwa workshop ya Soka Africa View attachment 3092994
Tokea lini ukawa yanga wewe au umeamia juzi🤣🤣Mimi ni shabiki wa Yanga lakini huwa nachukizwa na ujinga ujinga walionao wenzangu. Yaani timu ni ya Taifa halafu mbumbumbu mmoja anasifia Yanga.
Huyo mzoee ndio nyuzi zake zilivyo, hajawahi kuandika nyuzi kama mwana michezo bali ni kama shabiki wa Yanga hata ni jambo la utaifaMimi ni shabiki wa Yanga lakini huwa nachukizwa na ujinga ujinga walionao wenzangu. Yaani timu ni ya Taifa halafu mbumbumbu mmoja anasifia Yanga.