Camilo Cienfuegos
JF-Expert Member
- Apr 23, 2015
- 18,960
- 67,654
Winga teleza![emoji13] [emoji13] [emoji13]Iousoffou Abubacar
Mkuu,Robert Jama Mba aliondoka yanga na magoli mawili.....moja alifunga mazoezini na lingine alifunga dhidi ya jkt ruvu ila refa akasema offside so likafutwa...Mba ndio wa kwanza katika list aliyesajiliwa na Yanga... maana Shamra shamra zilianzia Airport and then Magazetini basi kila uchwao Mba Mba Mba mazoezini alifunga goli moja magazeti yakalipuka Mba Mba Mba kivumbi kwenye ligi aliishia kufunga goli moja tu. and then sikumsikia tena.
Wamaanisha mkata umeme?Asisahaulike mzee wa power bank!
Muhahahahaha so official Goal hakuna ohMkuu,Robert Jama Mba aliondoka yanga na magoli mawili.....moja alifunga mazoezini na lingine alifunga dhidi ya jkt ruvu ila refa akasema offside so likafutwa...
Nilishangaa sana Yanga walivomwacha beki kisiki Salim Mbonde wakaenda kuokota hilo Galasa, yani tangu lipo mtibwa lilikua linabebwa na Mbknde live live......Andrew Vincent
Wewe utakuwa Ni shishimbi Bila shaka!Okwi anafunga Taifa tu
Kuna watu wanakuwa nafikiri wana ten percent zao wakati wa kombe la mapinduzi mie niliwapendekeza wachezaji wawili kutoka Mtibwa 1- Ibrahimu Jeba 2- Shiza Ramadan Kichuya nikawaambia Yanga awana wachezaji wa aina hiyo wakati huo nikashangaa wakati wa usajili wanaenda kumchukua Vicent Chikupe duh nikashangaa maana wakati huo wana Pato Ngonyani, Ibrahim Job na Said Juma Makapu ambao uchezaji wao ulikuwa auna tofauti na DANTE.Nilishangaa sana Yanga walivomwacha beki kisiki Salim Mbonde wakaenda kuokota hilo Galasa, yani tangu lipo mtibwa lilikua linabebwa na Mbknde live live......
Soka la Bongo sijui linamatatizo sana....!
Hahaaa watu mna manenoMba ndio wa kwanza katika list aliyesajiliwa na Yanga... maana Shamra shamra zilianzia Airport and then Magazetini basi kila uchwao Mba Mba Mba mazoezini alifunga goli moja magazeti yakalipuka Mba Mba Mba kivumbi kwenye ligi aliishia kufunga goli moja tu. and then sikumsikia tena.