Wachezaji wabovu kuwahi kusajiliwa Simba na Yanga

Said Sued "Scud"!! Huyu alijua kufunga mechi ya Simba vs Yanga tu tena loose ball. Msimu mmoja tu mpaka Leo hajulikani alipo.
 
Mba ndio wa kwanza katika list aliyesajiliwa na Yanga... maana Shamra shamra zilianzia Airport and then Magazetini basi kila uchwao Mba Mba Mba mazoezini alifunga goli moja magazeti yakalipuka Mba Mba Mba kivumbi kwenye ligi aliishia kufunga goli moja tu. and then sikumsikia tena.
Mkuu,Robert Jama Mba aliondoka yanga na magoli mawili.....moja alifunga mazoezini na lingine alifunga dhidi ya jkt ruvu ila refa akasema offside so likafutwa...
 
Muhahahahaha so official Goal hakuna oh
 
Andrew Vincent
Nilishangaa sana Yanga walivomwacha beki kisiki Salim Mbonde wakaenda kuokota hilo Galasa, yani tangu lipo mtibwa lilikua linabebwa na Mbknde live live......

Soka la Bongo sijui linamatatizo sana....!
 
Kuna watu wanakuwa nafikiri wana ten percent zao wakati wa kombe la mapinduzi mie niliwapendekeza wachezaji wawili kutoka Mtibwa 1- Ibrahimu Jeba 2- Shiza Ramadan Kichuya nikawaambia Yanga awana wachezaji wa aina hiyo wakati huo nikashangaa wakati wa usajili wanaenda kumchukua Vicent Chikupe duh nikashangaa maana wakati huo wana Pato Ngonyani, Ibrahim Job na Said Juma Makapu ambao uchezaji wao ulikuwa auna tofauti na DANTE.
 
Mba ndio wa kwanza katika list aliyesajiliwa na Yanga... maana Shamra shamra zilianzia Airport and then Magazetini basi kila uchwao Mba Mba Mba mazoezini alifunga goli moja magazeti yakalipuka Mba Mba Mba kivumbi kwenye ligi aliishia kufunga goli moja tu. and then sikumsikia tena.
Hahaaa watu mna maneno
 
Back
Top Bottom