Wachezaji wabovu kuwahi kusajiliwa Simba na Yanga

Kwenye siasa kila kitu kinapangwa...kwa nini Manji akukamatwa mwaka Jana...
 
Mba ndio wa kwanza katika list aliyesajiliwa na Yanga... maana Shamra shamra zilianzia Airport and then Magazetini basi kila uchwao Mba Mba Mba mazoezini alifunga goli moja magazeti yakalipuka Mba Mba Mba kivumbi kwenye ligi aliishia kufunga goli moja tu. and then sikumsikia tena.
Sijawahi kuona mchezaji mbovu kama JAMA MBA galasa lililosajiliwa yanga .
 
04af80540f17895e635a417ba8b95935.jpg
Kuhama arsenal
 
Mba ndio wa kwanza katika list aliyesajiliwa na Yanga... maana Shamra shamra zilianzia Airport and then Magazetini basi kila uchwao Mba Mba Mba mazoezini alifunga goli moja magazeti yakalipuka Mba Mba Mba kivumbi kwenye ligi aliishia kufunga goli moja tu. and then sikumsikia tena.
Tena la offside dhidi ya wana lizombe![emoji13] [emoji13]
 
jamani mbona mnaogopa kusema ,ni hawa
sserukumas wote
Dani akufo
Fedrick blagnon
vicent agban
papa Abdullah Ndow
Rafael kiyongera
 
Back
Top Bottom