GENTAMYCINE
JF-Expert Member
- Jul 13, 2013
- 60,660
- 121,325
Kuna Klabu Moja yenye Chuki na Klabu ya Simba na ina Ukaribu wa Kiundugu na Klabu ya African Sports ya Tanga imewatuma Wachezaji wa African Sports FC Wawaumize vibaya Wachezaji Muhimu wa Simba SC ili wasicheze Mechi Mbili Muhimu za Kimaamuzi za CAFCL ile ya Vipers FC tarehe 7 March 2023 na ya Horoya FC tarehe 18 March 2023.
Wachezaji wa Simba SC ambao huenda Wakipangwa leo katika Mechi / Mchezo dhidi ya African Sports FC wakaumizwa vibaya na Kimakusudi kabisa ni Wafuatao......
1. Clatous Chama
2. Moses Phiri
3. Saido Ntibanzokinza
4. Jean Baleke
5. Sadio Kanoute
6. Henock Inonga
7. Pape Sakho
8. Mohammed Hussein
Ushauri wangu naomba Kikosi cha Simba SC cha leo dhidi ya African Sports FC katika TFF ASFC Kipangwe hiki Kifuatacho ili Kuwalinda Wachezaji wetu Muhimu kuelekea Michezo yetu Miwili ya Kimaamuzi na Muhimu ya CAFCL........
1. Beno Kakolanya
2. Israeli Mwenda
3. Gadiel Michael
4. Kennedy Juma
5. Mohammed Outarra
6. Jonas Mkude
7. Peter Banda
8. Ishmael Sawadogo
9. Habib Kyombo
10. John Boko
11. Nassoro Kapama
Naomba mwenye Uwezo tafadhali aufowadi Uzi huu Muhimu kwa Msemaji wa Simba SC, Benchi la Ufundi na Viongozi wa Simba SC ili Waufanyie Kazi ila Ukweli ni kwamba leo kuna Mpango wa Kimafia wa Kuwaumiza Wachezaji muhimu wa Simba SC ili Kutudhoofisha katika Mechi zetu Mbili Ngumu za CAFCL ya Vipers na Horoya.