Wachezaji wafuatao wachukuliwe hatua haraka na mapema



Acha ujinga, wachezaji wamejitahidi kadri ya uwezo wao, timu inapitia wakati mgumu sana.

Timu imejitahidi sana kuokoa jahazi, Mikia kwa kipindi hiki wapo vizuri ndani na nje ya uwanja lakini bado leo wamecheza mpira wa kawaida sana mbele ya Yanga iliyokuwa pungufu.

Tuache kulalamika.
 
........eezaoooo timunzimaa
 
Msanyigwa nae leo, nae umempa uanachama wa Simba, Ajibu, Kessy, Mlifanya Sherehe wakati na wasajiri, leo nao mmewapa kadi za Simba.
Mbona Wenzenu, wamevumilia maumivu Muda mrefu sana, Sasa mwakani si mtachoma Jengo moto nyie, maana sasa Simba inaimarika kila idara, Mooo.
 
Ajibu ni Yanga damu tangu akikipiga chandimu pale Lumumba akiwa dogo sana,yeye na yule dadake mtangazaji wa radio wote ni Yanga damu,Shishimbi asingeweza kufanya kitu ikiwa timu haikuwa na washambuliaji asilia,swala la kessy ni bahati mbaya..Yanga tunapitia kipindi kigumu sana kwa sasa kiuchumi na kutokuwa na washambuliaji na tar 3 tunasafiri nje ya nchi kucheza shirikisho.
 
Tshishimbi aliumia ethiopia,ndio maana na mbeya city akucheza,alianza mazoezi camp,juzi asubuhi alijitonesha tena mazoezini moro hadi kushindwa kuendelea na mazoezi,leo kachezwa kwa sindano ili tu uwepo wa uwanjani upunguze kujiamini kwa mikia,tshishimbi leo alicheza akiwa injury
 
Umemsahau yule NYOKA aina ya SWILA ambaye alikuwa anatema makohozi hovyo kama mjamzito?
 
Ajib amesharudi nyumbani maana nyumbani kumenoga
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…