Wachezaji walio-flop msimu huu

Wachezaji walio-flop msimu huu

Dirisha la usajili katika Majira ya kiangazi yaliyopita, Man Utd walikuwa wanamtaka kwa udi na uvumba winga wa Borussia Dortmund, Sancho ila kwa bahati mbaya wakashindwa kumnasa!

Miezi takribani minne baadae, Sancho amekuwa na fomu mbaya ndani ya uwanja, baada ya kucheza takribani dk 900 bila hata ya kuwa na goli tofauti na ilivyokuwa msimu uliopita. Kama Man Utd wangemnunua leo hii story zote mbaya zingekuwa kwa Ole Gunnar kuwa kaua kipaji cha Sancho.

Sancho ameflop sana, yupo chini ya uwezo wake, sijui ni ule uhamisho ulimgharimu nje ya uwanja? Hatujui

Taja mchezaji unayeona msimu huu anacheza chini ya kiwango chake, tofauti na msimu uliopita...
Fatuma mtoto, Sara na yokupa
 
Dirisha la usajili katika Majira ya kiangazi yaliyopita, Man Utd walikuwa wanamtaka kwa udi na uvumba winga wa Borussia Dortmund, Sancho ila kwa bahati mbaya wakashindwa ...
Sancho Ana Goli 12 na assist 16 kwenye mechi 31 sawa na 0.9 goal contribution kwa dakika 90. Hizi ni stats za elite player, far from flop.
 
Bwalya, Kondeboy na Morrison mechi ijayo watakachoifanya Yanga maji Watayaita mmmaaaaa
[emoji16][emoji16][emoji16] Huyu mbumbumbu aliandika huu upopoma wake mwezi wa nne mwaka huu! [emoji16][emoji16], Mwezi Mei, wakakimbia mechi! Wananchi walienda saa 11, wenyewe wakaenda saa 1 na nusu jioni!

Mechi ikaahirishwa mpaka mwezi Julai!! Wakiwa na hao akina Bwalya, Kondeboy wao na yule mwizi na mvuta bangi Morrison, wakapelekewa moto!! [emoji16][emoji16]

Kwa sasa tambo zote kwisha! Tarehe 25 wataingia kinyoonge!! [emoji16][emoji16][emoji16]

Hakuna cha dhith idh thimba bhana, wala nini [emoji3062] Kipigo kiko pale pale!!
 
1. Chingwende
2. Chingwendu
3. Chikwende
4. Sapong
5. Mpiana Mzinzi
6. Ally Niyonzima
7. Muduhwa
8. J.Lokosa
9. Waziri Jr
10. Gadiel
11. Ajibu
 
Back
Top Bottom