NALIA NGWENA
JF-Expert Member
- Oct 6, 2016
- 10,587
- 13,425
TFF na Bodi ya ligi Tanzania kitu kikubwa wanachokijua ni kupiga faini wachezaji na kufungia wachezaji/makocha wanaowakosoa tu.
Lakini katika Mambo ya msingi/muhimu Kama kudraft ratiba ya match Mwanzo wa msimu Hadi mwisho TFF na Bodi ya ligi Tanzania hakuna walijualo.
Fainali ya kombe la Azamu bado halijaisha Kuna wachezaji wameitwa kwenye timu zao za Taifa, hii ni aibu sana kwa TFF na Bodi ya ligi Tanzania.
Nani ambaye hakutegemea??Nyie ndiyo mmevuruga ratiba, kuna mechi ziliahirishwa kwa maombi yenu. Halafu hakuna aliyetegemea mvuke group stage, tuliwazoea wazee wa hatua za awali muendeleze jadi yenu [emoji1787][emoji23][emoji1787]
Una uhakika kuwa Yanga walituma maombi..?? Utuwekee hiyo barua ya maombiNyie ndiyo mmevuruga ratiba, kuna mechi ziliahirishwa kwa maombi yenu. Halafu hakuna aliyetegemea mvuke group stage, tuliwazoea wazee wa hatua za awali muendeleze jadi yenu 🤣😂🤣
Nani ambaye hakutegemea??
Ni TFF wapangaji wa ratiba ndiyo walikua kuwa Simba na Yanga hakuna timu itakayofika fainali Sasa inakuaje shirikisho la mpira halina Imani na timu zake.
Una uhakika kuwa Yanga walituma maombi..?? Utuwekee hiyo barua ya maombi
Hiyo ratiba ilikua inasemaje au unaropoka tu Kama umekunywa maji ya chooni??Ratiba za mwanzo zilikuwa zinatosheleza mahitaji hakukuwa na haja ya kusimamishwa ligi wala FA, ni nyie ndiyo mliomba mechi ziahirishwe na bado kwenye fainali mkapigwa.
Kwa ratiba ile unadhani ilikua sahihi??Mkishindwaga hoja mnapendaga sana kuomba uthibitisho. Ile mechi ya nusu fainali na Singida, Yanga hawakuomba iahirishwe?
Tatizo lenu kubwa Yanga huwa hamfikiri mambo kwa kina, mambo mengi yanayowakwamishaga ni kwa sababu hiyo. Huwa mnafikiri hatua moja tu mbele.
Hiyo ratiba ilikua inasemaje au unaropoka tu Kama umekunywa maji ya chooni??
Kwa hiyo Kama ratiba ni ngumu Kuna ubaya timu kuomba ili ipate muda wa kupumnzika.
Simba sc haijawahi kuomba kitu Kama hicho?
Hongereni ninyi ambao huwa mnafikiri kwa kinaMkishindwaga hoja mnapendaga sana kuomba uthibitisho. Ile mechi ya nusu fainali na Singida, Yanga hawakuomba iahirishwe?
Tatizo lenu kubwa Yanga huwa hamfikiri mambo kwa kina, mambo mengi yanayowakwamishaga ni kwa sababu hiyo. Huwa mnafikiri hatua moja tu mbele.
Ingeisha mwakani mkuu.Bodi ya ligi Wana mapungufu makubwa hivi ligi ingeshirikisha timu 20 ligi ingeisha lini
Sasa unaipangia timu ifanye Nini hivi wewe una akili kweli wew??Unaona sasa, mlifanya hivyo kisa Simba waliwahi kuomba bila kuzingatia jinsi uamuzi huo unavyoweza kuja kuwakwamisha.
Ratiba haikuwa ngumu bwashee, ni nyie tu mlidhani kujifungia huko Kimbiji ndiyo mngechukua kombe la losers. Mlifika hadi Dodoma, mlishindwa nini kupeleka hata nusu ya kikosi chenu cha 3 kucheza na Singida maana tunajua bado mngeshinda tu na maisha mengine yakaendelea.
Usihofu lakini, viongozi wetu ni masela na wahuni, wachezaji wote watakuwepo, tutalipa faini. Sisi ndiyo wananchi, tutampigia Mama aongee na marais wenzake kuweka mambo sawa.Hongereni ninyi ambao huwa mnafikiri kwa kina
Mkude, Nyoni, Mwenda, Kapama, Bocco, Kennedy, Banda, Kyombo...hawa ndiyo kikosi cha kwanza cha Simba?Sasa unaipangia timu ifanye Nini hivi wewe una akili kweli wew??
Ungewashauri Simba waingize kikosi Cha tatu walipocheza na Polisi Tanzania kwa Nini ligi imeisha lakini anaingiza kikosi Cha kwanza??
Rage hakukosea.
Nani ambaye hakutegemea??
Ni TFF wapangaji wa ratiba ndiyo walikua kuwa Simba na Yanga hakuna timu itakayofika fainali Sasa inakuaje shirikisho la mpira halina Imani na timu zake.
Kalenda ya FIFA huwa ipo fixed na inapangwa mapema sana kabla hata ya ratiba zingine hazijapangwa.TFF na Bodi ya ligi Tanzania kitu kikubwa wanachokijua ni kupiga faini wachezaji na kufungia wachezaji/makocha wanaowakosoa tu.
Lakini katika Mambo ya msingi/muhimu Kama kudraft ratiba ya match Mwanzo wa msimu Hadi mwisho TFF na Bodi ya ligi Tanzania hakuna walijualo.
Fainali ya kombe la Azamu bado halijaisha Kuna wachezaji wameitwa kwenye timu zao za Taifa, hii ni aibu sana kwa TFF na Bodi ya ligi Tanzania.
Kwa nini utopolo hamuachi kulalamika kila siku?TFF na Bodi ya ligi Tanzania kitu kikubwa wanachokijua ni kupiga faini wachezaji na kufungia wachezaji/ makocha wanaowakosoa tu.
Lakini katika Mambo ya msingi/ muhimu Kama kudraft ratiba ya match Mwanzo wa msimu Hadi mwisho TFF na Bodi ya ligi Tanzania hakuna walijualo.
Fainali ya kombe la Azam bado halijaisha Kuna wachezaji wameitwa kwenye timu zao za Taifa, hii ni aibu sana kwa TFF na Bodi ya ligi Tanzania.
Watacheza waliobakia,ila msimu huu wame jitahidi kuondoa viporo, ila kuna maeneo mengine wame pwiyanga yaani mpaka waunde kamati ya kudiscuss nane apewe kiatu cha ufungaji Bora yaani hiki ni kituko.TFF na Bodi ya ligi Tanzania kitu kikubwa wanachokijua ni kupiga faini wachezaji na kufungia wachezaji/ makocha wanaowakosoa tu.