Wachezaji wanahitajika Timu za Taifa huku michezo haijaisha, Ni uzembe mkubwa kwa TFF na Bodi ya ligi

NALIA NGWENA

JF-Expert Member
Joined
Oct 6, 2016
Posts
10,587
Reaction score
13,425
TFF na Bodi ya ligi Tanzania kitu kikubwa wanachokijua ni kupiga faini wachezaji na kufungia wachezaji/ makocha wanaowakosoa tu.

Lakini katika Mambo ya msingi/ muhimu Kama kudraft ratiba ya match Mwanzo wa msimu Hadi mwisho TFF na Bodi ya ligi Tanzania hakuna walijualo.

Fainali ya kombe la Azam bado halijaisha Kuna wachezaji wameitwa kwenye timu zao za Taifa, hii ni aibu sana kwa TFF na Bodi ya ligi Tanzania.
 
TFF na Bodi ya ligi Tanzania kitu kikubwa wanachokijua ni kupiga faini wachezaji na kufungia wachezaji/makocha wanaowakosoa tu.

Lakini katika Mambo ya msingi/muhimu Kama kudraft ratiba ya match Mwanzo wa msimu Hadi mwisho TFF na Bodi ya ligi Tanzania hakuna walijualo.

Fainali ya kombe la Azamu bado halijaisha Kuna wachezaji wameitwa kwenye timu zao za Taifa, hii ni aibu sana kwa TFF na Bodi ya ligi Tanzania.

Nyie ndiyo mmevuruga ratiba, kuna mechi ziliahirishwa kwa maombi yenu. Halafu hakuna aliyetegemea mvuke group stage, tuliwazoea wazee wa hatua za awali muendeleze jadi yenu 🤣😂🤣
 
Nyie ndiyo mmevuruga ratiba, kuna mechi ziliahirishwa kwa maombi yenu. Halafu hakuna aliyetegemea mvuke group stage, tuliwazoea wazee wa hatua za awali muendeleze jadi yenu [emoji1787][emoji23][emoji1787]
Nani ambaye hakutegemea??

Ni TFF wapangaji wa ratiba ndiyo walikua kuwa Simba na Yanga hakuna timu itakayofika fainali Sasa inakuaje shirikisho la mpira halina Imani na timu zake.
 
Nyie ndiyo mmevuruga ratiba, kuna mechi ziliahirishwa kwa maombi yenu. Halafu hakuna aliyetegemea mvuke group stage, tuliwazoea wazee wa hatua za awali muendeleze jadi yenu 🤣😂🤣
Una uhakika kuwa Yanga walituma maombi..?? Utuwekee hiyo barua ya maombi
 
Nani ambaye hakutegemea??

Ni TFF wapangaji wa ratiba ndiyo walikua kuwa Simba na Yanga hakuna timu itakayofika fainali Sasa inakuaje shirikisho la mpira halina Imani na timu zake.

Ratiba za mwanzo zilikuwa zinatosheleza mahitaji hakukuwa na haja ya kusimamishwa ligi wala FA, ni nyie ndiyo mliomba mechi ziahirishwe na bado kwenye fainali mkapigwa.
 
Mkishindwaga hoja mnapendaga sana kuomba uthibitisho. Ile mechi ya nusu fainali na Singida, Yanga hawakuomba iahirishwe?

Tatizo lenu kubwa Yanga huwa hamfikiri mambo kwa kina, mambo mengi yanayowakwamishaga ni kwa sababu hiyo. Huwa mnafikiri hatua moja tu mbele.
 
Hiyo ratiba ilikua inasemaje au unaropoka tu Kama umekunywa maji ya chooni??

Kwa hiyo Kama ratiba ni ngumu Kuna ubaya timu kuomba ili ipate muda wa kupumnzika.

Simba sc haijawahi kuomba kitu Kama hicho?
 
Kwa ratiba ile unadhani ilikua sahihi??

Acha UJUAJI kolo wewe.
 
Hiyo ratiba ilikua inasemaje au unaropoka tu Kama umekunywa maji ya chooni??

Kwa hiyo Kama ratiba ni ngumu Kuna ubaya timu kuomba ili ipate muda wa kupumnzika.

Simba sc haijawahi kuomba kitu Kama hicho?

Unaona sasa, mlifanya hivyo kisa Simba waliwahi kuomba bila kuzingatia jinsi uamuzi huo unavyoweza kuja kuwakwamisha.

Ratiba haikuwa ngumu bwashee, ni nyie tu mlidhani kujifungia huko Kimbiji ndiyo mngechukua kombe la losers. Mlifika hadi Dodoma, mlishindwa nini kupeleka hata nusu ya kikosi chenu cha 3 kucheza na Singida maana tunajua bado mngeshinda tu na maisha mengine yakaendelea.
 
Mkishindwaga hoja mnapendaga sana kuomba uthibitisho. Ile mechi ya nusu fainali na Singida, Yanga hawakuomba iahirishwe?

Tatizo lenu kubwa Yanga huwa hamfikiri mambo kwa kina, mambo mengi yanayowakwamishaga ni kwa sababu hiyo. Huwa mnafikiri hatua moja tu mbele.
Hongereni ninyi ambao huwa mnafikiri kwa kina
 
Unaona sasa, mlifanya hivyo kisa Simba waliwahi kuomba bila kuzingatia jinsi uamuzi huo unavyoweza kuja kuwakwamisha.

Ratiba haikuwa ngumu bwashee, ni nyie tu mlidhani kujifungia huko Kimbiji ndiyo mngechukua kombe la losers. Mlifika hadi Dodoma, mlishindwa nini kupeleka hata nusu ya kikosi chenu cha 3 kucheza na Singida maana tunajua bado mngeshinda tu na maisha mengine yakaendelea.
Sasa unaipangia timu ifanye Nini hivi wewe una akili kweli wew??

Ungewashauri Simba waingize kikosi Cha tatu walipocheza na Polisi Tanzania kwa Nini ligi imeisha lakini anaingiza kikosi Cha kwanza??

Rage hakukosea.
 
Hongereni ninyi ambao huwa mnafikiri kwa kina
Usihofu lakini, viongozi wetu ni masela na wahuni, wachezaji wote watakuwepo, tutalipa faini. Sisi ndiyo wananchi, tutampigia Mama aongee na marais wenzake kuweka mambo sawa.
 
Sasa unaipangia timu ifanye Nini hivi wewe una akili kweli wew??

Ungewashauri Simba waingize kikosi Cha tatu walipocheza na Polisi Tanzania kwa Nini ligi imeisha lakini anaingiza kikosi Cha kwanza??

Rage hakukosea.
Mkude, Nyoni, Mwenda, Kapama, Bocco, Kennedy, Banda, Kyombo...hawa ndiyo kikosi cha kwanza cha Simba?
 
Nani ambaye hakutegemea??

Ni TFF wapangaji wa ratiba ndiyo walikua kuwa Simba na Yanga hakuna timu itakayofika fainali Sasa inakuaje shirikisho la mpira halina Imani na timu zake.

Mfano game ya singida mkaomba isichezwe. TFF ni watu wa hovyo sana, wanapanga ratiba vizuri. Mashindano yakianza wanasikiliza maombi ya Simba na Yanga eti wapewe muda wa kujiandaa. Pre season sijui huwa wanafanya nini?

Mashindano yakianza yasiwe na vijisababu, timu ikipumzika masaa 48 hadi 72 itoshe kukiwasha tena.
 
TFF na Bodi ya ligi Tanzania kitu kikubwa wanachokijua ni kupiga faini wachezaji na kufungia wachezaji/makocha wanaowakosoa tu.

Lakini katika Mambo ya msingi/muhimu Kama kudraft ratiba ya match Mwanzo wa msimu Hadi mwisho TFF na Bodi ya ligi Tanzania hakuna walijualo.

Fainali ya kombe la Azamu bado halijaisha Kuna wachezaji wameitwa kwenye timu zao za Taifa, hii ni aibu sana kwa TFF na Bodi ya ligi Tanzania.
Kalenda ya FIFA huwa ipo fixed na inapangwa mapema sana kabla hata ya ratiba zingine hazijapangwa.

Wanachozingua TFF , ni wao kutaka ligi iishe late April au may. Timu zimepungua, zipo 16 ila bado wanafosi ligi iende mpaka may.
 
TFF na Bodi ya ligi Tanzania kitu kikubwa wanachokijua ni kupiga faini wachezaji na kufungia wachezaji/ makocha wanaowakosoa tu.

Lakini katika Mambo ya msingi/ muhimu Kama kudraft ratiba ya match Mwanzo wa msimu Hadi mwisho TFF na Bodi ya ligi Tanzania hakuna walijualo.

Fainali ya kombe la Azam bado halijaisha Kuna wachezaji wameitwa kwenye timu zao za Taifa, hii ni aibu sana kwa TFF na Bodi ya ligi Tanzania.
Kwa nini utopolo hamuachi kulalamika kila siku?
Semeni mnataka kubebwaje ili mshinde?
 
TFF na Bodi ya ligi Tanzania kitu kikubwa wanachokijua ni kupiga faini wachezaji na kufungia wachezaji/ makocha wanaowakosoa tu.

Lakini katika Mambo ya msingi/ muhimu Kama kudraft ratiba ya match Mwanzo wa msimu Hadi mwisho TFF na Bodi ya ligi Tanzania hakuna walijualo.

Fainali ya kombe la Azam bado halijaisha Kuna wachezaji wameitwa kwenye timu zao za Taifa, hii ni aibu sana kwa TFF na Bodi ya ligi Tanzania.
Watacheza waliobakia,ila msimu huu wame jitahidi kuondoa viporo, ila kuna maeneo mengine wame pwiyanga yaani mpaka waunde kamati ya kudiscuss nane apewe kiatu cha ufungaji Bora yaani hiki ni kituko.
 
Back
Top Bottom