Wachezaji wanaoachwa na Yanga wakikutana wanaikamia Yanga tofauti na wale wa Simba

hii ni kawaida
 
Ile ilikuwa ni komedi sio penati
 
Yeye aliita kwa sababu yeye ni Mzungu ila kamwe haiwezi kubadilisha Binadamu kuwa mnyama.Ila kuna kiongozi alisema anaongoza MAMBUMBUMBU yasiyojua kitu hilo uwezekano upo
Unyani unaosemwa ni tabia zenu
 
Unganisha na Emmanuel martin wa dodoma Jiji,
 
Hapana mkuu, mapumziko ya AFCON, wachezaji wetu binafsi naona walijiachia sana inaonyesha.... wanajitafuta sana, viwango vimeshuka kidogo. Pia nahisi Kocha wetu bado hajajua kuwatumia baadhi ya wachezaji.
Ilianzia kombe la Mapinduzi, kuna wachezaji wemekaa muda mrefu hawajacheza, mechi mbili za mwisho Yanga kashinda kwa tabu kubwa. Wachezaji wengi wapepoteza fitness, hata tempo ya uchezaji wao imeshuka. Tatizo la umaliziaji kama bado halijapata tiba.

Sent from my SM-A6050 using JamiiForums mobile app
 
Uko sahihi,mpira ni sayansi sometimes hata kama sisi ni mashabiki tujadili facts kuliko story za vijiwe vya kahawa
 
Mashabiki kama mleta uzi ni wafinyu wa akili, hata kuwasikiliza kijiweni huwa ni tabu.
 
Kwa hiyo tufanyeje?
 
Hapana mkuu, mapumziko ya AFCON, wachezaji wetu binafsi naona walijiachia sana inaonyesha.... wanajitafuta sana, viwango vimeshuka kidogo. Pia nahisi Kocha wetu bado hajajua kuwatumia baadhi ya wachezaji.
Max alikuja akiwa bikira, baada ya mechi na Simba nadhani walimpatia Jishangazi likamshusha kiwango, Jeshi naye atakuwa kalegezwa magoti na Jishangazi.
Sasa hivi naona kupitia mechi ya jana Max ameonekana network imekamata na sasa amerudi kwenye game
 
Magomeni hiyo 😀😀
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…