Wachezaji wangapi wakiumwa mechi inaahirishwa?

Je hao wachezaji 28 na zaidi huwa wote wanahusishwa kwenye mechi moja? Yaani first eleven halafu benchi wanakuwa 17,18 au 19?
so wachezaji 28 waumwe hata wachezaji 10 bado hapo hakuna timu?
 
Katika wachezaji 28 ikatokea hata wachezaji 10 wanaumwa tena kwa mpigo hali hii si ya kawaida hata kama ndio kuna wengine 18 hawaumwi na ndio maana hata kuko kwa wenzetu walikoendelea leo hii kuna game imeahirishwa vile vile,,, ila hapa nongwa zimeanza kwa msukule eti kagera sugar hawajahongwa ndio maana simba kaogopa kuingiza timu
 
Kama kwenye hao 10 makipa wote ni miongoni mwa wagonjwa, je hapo timu ipo? Vile vile je timu moja inaweza kuwaweka benchi wachezaji 19 ? hakuna maximum number ya wachezaji kwa mechi?
 
Hivi kwanini timu ikitoa wachezaji zaidi ya watatu kwenye timu ya taifa mechi zao zinasimamishwb? Utopolo mnatia aibu
 
Katika wachezaji 28 ikatokea hata wachezaji 10 wanaumwa tena kwa mpigo hali hii si ya kawaida hata kama ndio kuna wengine 18 hawaumwi na ndio maana hata kuko kwa wenzetu walikoendelea leo hii kuna game imeahirishwa vile vile,,, ila hapa nongwa zimeanza kwa msukule eti kagera sugar hawajahongwa ndio maana simba kaogopa kuingiza timu
Kanuni zetu zinasemaje? Acha maneno mengi kuhusu wenzetu.
 
Hivi kwanini timu ikitoa wachezaji zaidi ya watatu kwenye timu ya taifa mechi zao zinasimamishwb? Utopolo mnatia aibu
Yanga kulikuwa Na Mapinduzi Balama, yasin Mustafa, Yacuoba, Ambundo, Kabwili wagonjwa lakini mechi ziliendelea. Wacha uvivu was kufikiri
 
We jamaa yangu waga una matatizo sana na ushabiki maandazi, Kwani Simba walipokuwa na majeruhi Mugalu,Sahko,Banda, Lwanga,Kapombe je Simba ilikuwa haichezi mechi zake kisa Ina hao majeruhi? Hao ni Majeruhi/wagonjwa ambao hawahusiki na game husika kwa wakati huo

Tuje kwenye point ya msingi, team ya mpira wa miguu inaruhusiwa kuwa hadi na wachezaji 28, ila kati ya hao 28 ni 18 tu ndio wataruhusiwa kushiriki kwenye mchezo husika, team inaweza kusafiri na wachezaji 25 ila watakaocheza ni 18 tu, ambapo watakaoanza ni 11 na sub watakaa 7

Simba imesafiri na wachezaji 23 kwenda bukoba, Kati ya hao 23 ni wachezaji 16 wamekutwa na maradhi, it means wazima wapo 7 kwahiyo ata first eleven haifiki unataka wacheze hao wachezaji 7? lakini pia ili kutohatarisha Afya ya wachezaji wengine kwa kuusambaza ugonjwa ndipo linakuja swala la kuahirisha mchezo

Totenham kabla ya mchezo wa Leo na Liverpool mechi zao 3 zilihairishwa, na sio kwa sababu wachezaji wa totenham ndio wana maradhi bali wachezaji wa team pinzani, Manchester utd hadi Leo hii ameahirishiwa mechi 2 lengo ni kuangalia Afya ya wachezaji na kupunguza kuusambaza ugonjwa

Usimba na Uyanga usikufanye ukawa Mjinga wa kiwango kile ambacho aliwahi kukisema Haji Manara, kwamba kwenye Yanga watu wenye Akili timamu ni mzee Kikwete na Baba yake tu wengine wote linapokuja swala la Usimba na Uyanga waga kama wapiga debe tu, waga uko vizuri sana kwenye issues zingine ila huku sijui waga unaacha akili zako wapi
 
mademu jana wamecheza 8 huko Burundi nyie majitu na midevu mnalia lia
 
Wagonjwa wametibiwa hospital gani, dk nani kawapa wachezaji excuse of duties (EDs)? je, ugonjwa huo wa simba unaambukiza? Je, ugonjwa huo unaathiri wachezaji wa simba tu Na sio wa timu nyingine za ligi? Je, tff inaufahamu huo ugonjwa Na imeweka kanuni gani kulinda wachezaji wote kwenye ligi wasiambukizwe huo ugonjwa au ni simba tu ndio wanaugua ugonjwa huo?

Unaongea kama mtu asiyekuwa Na elimu yoyote zaidi ya mihemko Na janjajanja.

Kule EPL timu zinacheza wakati kwenye bench kuna wachezaji 4 tu. EPL inafahamika kuwa wachezaji wanakutwa Na covid 19, je simba wachezaji wamekutwa Na ugonjwa gani?
 
Akili yako inakutosha kuelekeza kikojoleo kwenye kopo la dasani ukiwa unakojoa tu.
 
msimu huu janjajanja ileee ya simba imekwisha, simba ilijificha kwenye shamba la karanga[mafua ya wachezaji 3}
 
Back
Top Bottom