Wachezaji wasiostahili kuanza au kuwepo Simba s.c kwa sasa

Victor wa happy

JF-Expert Member
Joined
Apr 24, 2013
Posts
11,660
Reaction score
11,654
Kwa uwekezaji wa simba inamaana kuwa inahitaji mafanikio ya ndani na ya njee sasa kwa baadhi ya wachezaji tuliyonao ni vigumu kufanikiwa.

Hawa hawatakiwi kuwepo simba
1.tshabalala
2.gyan
3. Mzamiru

Hawa hawatakiwi kuanza kikosi cha kwanza

1.james kotei
2.john boko
3 tshabalala
4 gyani
5 aish manula
6 wawa

Mi sina cheti cha ukocha ila ukiangalia tu hawa wachezaji hawastahili kuanza kikosi cha kwanza cha simba

Mfano manula ameongezeka uzito sana, amezubaa golini, hajitumi, hayupo active lile goli la kwanza alilofungwa inaonesha alikuwa haendi sambamba na mchezo

James kotei
Sio mbunifu katikati mara nyingi anapiga back pass haipandishi timu.madhara ya back pass maana yake unawachosha mabeki na unaruhusu ushambuliwe mda wote

Tshabalala
Huyu bwana mdogo naona soka limemkataa mapema tofauti na kipindi cha nyuma huyu akipata mpira katika mipira kumi, saba lazima ipotee kwa kupigA pasi ndefu isiyo na macho hana ubunifu sio mwepesi kupandisha timu ni mara chache kumuona amevuka mstari wa katikati katika dkk 90 anaweza akaonekana kwenye kumi na nane ya wapinzani mara nne tu

Gyani
Huyu mara zote ninapoenda taifa mashabiki humpigia kelele kwani anaharibu sana hajui kukaba hajui kupiga cross yani hamna kross atapiga isimgonge beki au kross ikipita basi hiyo inaenda nje

Wawa
Kuwaanzisha wawa na erasto kwa wakati mmoja sio sahihi wawa anaweza kucheza ile one against one ila km ikitokea forwad inayopiga one two pale mbele kama jana basi wawa hupotea vibaya erasto atakiwa aanza na yule mganda

Boko na okwi

Amepoteza kujiamini kelele za mashabiki nje huwa zinampanikishA
Kwa jinsi uchezaji wa kagere, boko na okwi ulivyo inatakiwa aanze na washsmbuliaji wawili halafu kiungo kama dilunga anaongeza nguvu pale katikati

Pia kochA awe anasoma mchezo kwa haraka na kubadilisha mbinu ya mchezo sio ametulia tu

Kama tutaendelea na kikosi cha jana simba hatutafanya vizuri kimataifA msimu huu
 
Mmeanza sasa, ndio maana tanzania hatufikagi popotr kimichezo iwe rede au dama hakuna tunaloliweza kwa sababu ya ujuaji wetu mwingi.
.
Jaribu kuwa unahudhuria mafunzo ya ukocha pale taifa mwl kashasha atakupa skills za ajabu utaachana kabisa na hayo maneno yako.
.
Timu ya taifa la England na Manchester united sijui wasemeje kama sisi tunasema hivi na hatuna lolote.
 
Mtazamo wako sio mbaya ila nimeongea ukweli

Umeongea mengi ila nikuambie moja tuu mkuu, James Kotei akiondoka hapo Simba basi uwezekano wa hata wa draw tuu kwenye mechi zinazofuata hautakuwepo, Kotei ni kiungo aina ya akina Claudio makelele/ngolo kante & co kazi yake uwanjani sio rahisi kuielewa kama hujawahi kucheza Mpira wa miguu,.

Anaipata timu balansi, akikosekana timu nzima itakuwa shaghalabaghala!
 
Mkuu mi nafuatilia mpira kwa kiungo cha simba (kotei & mkude) hawa defensive minded kama ulivyosema sawa na makelele je kuwaanzisha wote kwa wakati mmoja kunaisadia timu yetu

Kama mechi ya jana mda mwingi timu yetu ilikuwa inajikaba iliwalazimu kina kagere kurudi deep kuja kuokota mpira hii ni kwasababu wote kotei na mkude akili yao sio kutafuta ushindi kinachowatofautisha wao dilunga ni kuwa HD anaipandisha timu

Tunatakiwa tubaki na holding mido mmoja afu chama na dilungA wawe juu kidogo

Mkuu sioni shida hawa wote wanacheza pamoja bila shida, mkude ni 8, lakini shida yangu moja Kwa kocha kulazimisha Okwi, kagere na bocco kucheza pamoja Hilo kwangu Hilo ni shida
Mkuu mi nafuatilia mpira kwa kiungo cha simba (kotei & mkude) hawa defensive minded kama ulivyosema sawa na makelele je kuwaanzisha wote kwa wakati mmoja kunaisadia timu yetu

Kama mechi ya jana mda mwingi timu yetu ilikuwa inajikaba iliwalazimu kina kagere kurudi deep kuja kuokota mpira hii ni kwasababu wote kotei na mkude akili yao sio kutafuta ushindi kinachowatofautisha wao dilunga ni kuwa HD anaipandisha timu

Tunatakiwa tubaki na holding mido mmoja afu chama na dilungA wawe juu kidogo
 
Tshabalala uwezo wake ni mzuri sana.

Aishi.
Bocco.

Hao sijaona kama wana hadhi ya kucheza SSC. (hasa huyo Manula)
 
Kwa uwekezaji wa simba inamaana kuwa inahitaji mafanikio ya ndani na ya njee sasa kwa baadhi ya wachezaji tuliyonao ni vigumu kufanikiwa.

Hawa hawatakiwi kuwepo simba
1.tshabalala
2.gyan
3. Mzamiru

Hawa hawatakiwi kuanza kikosi cha kwanza

1.james kotei
2.john boko
3 tshabalala
4 gyani
5 aish manula
6 wawa

Mi sina cheti cha ukocha ila ukiangalia tu hawa wachezaji hawastahili kuanza kikosi cha kwanza cha simba

Mfano manula ameongezeka uzito sana, amezubaa golini, hajitumi, hayupo active lile goli la kwanza alilofungwa inaonesha alikuwa haendi sambamba na mchezo

James kotei
Sio mbunifu katikati mara nyingi anapiga back pass haipandishi timu.madhara ya back pass maana yake unawachosha mabeki na unaruhusu ushambuliwe mda wote

Tshabalala
Huyu bwana mdogo naona soka limemkataa mapema tofauti na kipindi cha nyuma huyu akipata mpira katika mipira kumi, saba lazima ipotee kwa kupigA pasi ndefu isiyo na macho hana ubunifu sio mwepesi kupandisha timu ni mara chache kumuona amevuka mstari wa katikati katika dkk 90 anaweza akaonekana kwenye kumi na nane ya wapinzani mara nne tu

Gyani
Huyu mara zote ninapoenda taifa mashabiki humpigia kelele kwani anaharibu sana hajui kukaba hajui kupiga cross yani hamna kross atapiga isimgonge beki au kross ikipita basi hiyo inaenda nje

Wawa
Kuwaanzisha wawa na erasto kwa wakati mmoja sio sahihi wawa anaweza kucheza ile one against one ila km ikitokea forwad inayopiga one two pale mbele kama jana basi wawa hupotea vibaya erasto atakiwa aanza na yule mganda

Boko na okwi

Amepoteza kujiamini kelele za mashabiki nje huwa zinampanikishA
Kwa jinsi uchezaji wa kagere, boko na okwi ulivyo inatakiwa aanze na washsmbuliaji wawili halafu kiungo kama dilunga anaongeza nguvu pale katikati

Pia kochA awe anasoma mchezo kwa haraka na kubadilisha mbinu ya mchezo sio ametulia tu

Kama tutaendelea na kikosi cha jana simba hatutafanya vizuri kimataifA msimu huu
Hata ubingwa wa ligi tunaweza tusipate, mwenye tatizo kubwa ni kocha
 
Mbumbumbu mnaanza kutumbuana mapema kabla Nkana hajaja kuwatumbua
 
Halafu Tshambalala wenu anafanana na yule mwizi wa Mlandizi aliyepandwa na mzigo begani.
 
Umeongea mengi ila nikuambie moja tuu mkuu, James Kotei akiondoka hapo Simba basi uwezekano wa hata wa draw tuu kwenye mechi zinazofuata hautakuwepo, Kotei ni kiungo aina ya akina Claudio makelele/ngolo kante & co kazi yake uwanjani sio rahisi kuielewa kama hujawahi kucheza Mpira wa miguu,.

Anaipata timu balansi, akikosekana timu nzima itakuwa shaghalabaghala!
Mkuu umenena vyema huyu James Agyekum Kotei ni aina ya watu ambao hawaonekani ila shughuli yake sio ya kitoto
 
Back
Top Bottom