Wachezaji wasiostahili kuanza au kuwepo Simba s.c kwa sasa

Bado unao huu mtazamo ?

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Okwi hafai kuwa supersub na viungo wa simba wakianza Kotei na Mkude wote wakabaji na timu haitembei kisawasawa hasa kwa home game bora away.

Pia nawaza tu ...ile mechi angeumia Nyoni! Nyoni anaweza kubadilika na anayecheza nae kwa haraka.

Wawa anaweza kucheza na Nyoni tu ukimpa mabeki wengine anageuka kituko. Nyoni na Wawa wanawezana sababu wamecheza pamoja muda mrefu sana.

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…