Sacko,mugalu,kagere,inonga,onyango,lwanga,kanut,banda,phiri,okrah,chama,,,, bado 1 kkNafasi zimejaa
Lwanga ,kagere ,na kanoute au mugalu walipaswa wasepe Kama kweli Simba Ina malengo makubwa tofaut na hapo ni uhuni tu unaendelea na msimu ujao visingizio visiwepo tukiambulia patupu.Sacko,mugalu,kagere,inonga,onyango,lwanga,kanut,banda,phiri,okrah,chama,,,, bado 1 kk
Akpan je?Sacko,mugalu,kagere,inonga,onyango,lwanga,kanut,banda,phiri,okrah,chama,,,, bado 1 kk
Simba inaitaji beki mwengine wa kati atakae saidiana na onyango na inonga kiunga mkabaji mwengine na mshamuliaji mwengine wa kati je ataachwa Nani Kati ya hawa Mugalu, Kagere, Kanoute, Lwanga Kati ya hawa mmoja atabaki lazima tu na husi Kati ya mugalu na kanute mmoja ndo atabaki
Bm3 abaki wa kazi gan? Mbna dhidi ya Orlando hakuwepo kule south, hatutaki drama sie. Nia ni usajiri wa ukweli na maana ufanyike.Lwanga ,kagere ,na kanoute au mugalu walipaswa wasepe Kama kweli Simba Ina malengo makubwa tofaut na hapo ni uhuni tu unaendelea na msimu ujao visingizio visiwepo tukiambulia patupu.
Kosa kubwa lingine ni kumwacha mb3 asepe kirahis hakika huyu mwamba kimataifa alikua na msaada Sana japo kwa ligi ya ndani alikua kawiada maana wachezaji walishamsoma kwa uchezaji wake.
BandaSacko,mugalu,kagere,inonga,onyango,lwanga,kanut,banda,phiri,okrah,chama,,,, bado 1 kk
Hapo inabidi wawili watoke ili tuingize watatu (ambao ni hitaji la team kwasasa), nimeona post ya club ya Simba Sc kuwa bado hawajaliza kutangaza usajili mpya, ngoja tusubirie.Sacko,mugalu,kagere,inonga,onyango,lwanga,kanut,banda,phiri,okrah,chama,,,, bado 1 kk
Anakuja Ceasar Lobi Manzoki, Ugandan top scorer with 18 Premier league goals.1.CB wa kukaa na Inonga..
2.LB wa kumsaidia ZimbweJr, Gadiel hana msaada tena...
3.CM (Lwanga, Mzamiru, Mkude, Akpan, Kanoute ni kiungo chepesi sana..)
Mbele hakuna ulazima sana ila akipatikana namba 9, Kagere apewe mkono wa kwaheri...
Nafasi imeisha, ili waingie watatu inabidi watoke watatu.Hapo inabidi wawili watoke ili tuingize watatu (ambao ni hitaji la team kwasasa), nimeona post ya club ya Simba Sc kuwa bado hawajaliza kutangaza usajili mpya, ngoja tusubirie.
Hata mwaka jana pre-season tulienda na Chama, Chikwende na akina Ndemla ila wote hao hatukuwa nao kwenye kikosi cha msimu uliopita, kwahiyo something will happen for sure.