Wachezaji watatu ambao lazima wasajiliwe Simba

mtungu

JF-Expert Member
Joined
Dec 15, 2021
Posts
270
Reaction score
435
Simba inaitaji beki mwengine wa kati atakae saidiana na onyango na inonga kiunga mkabaji mwengine na mshamuliaji mwengine wa kati je ataachwa Nani Kati ya hawa Mugalu, Kagere, Kanoute, Lwanga Kati ya hawa mmoja atabaki lazima tu na husi Kati ya mugalu na kanute mmoja ndo atabaki
 
Kwani si inawezekana wakabaki wote na wengine wakaongezwa? Au nafas zimejaa?
 
Sacko,mugalu,kagere,inonga,onyango,lwanga,kanut,banda,phiri,okrah,chama,,,, bado 1 kk
Lwanga ,kagere ,na kanoute au mugalu walipaswa wasepe Kama kweli Simba Ina malengo makubwa tofaut na hapo ni uhuni tu unaendelea na msimu ujao visingizio visiwepo tukiambulia patupu.

Kosa kubwa lingine ni kumwacha mb3 asepe kirahis hakika huyu mwamba kimataifa alikua na msaada Sana japo kwa ligi ya ndani alikua kawiada maana wachezaji walishamsoma kwa uchezaji wake.
 
Simba inaitaji beki mwengine wa kati atakae saidiana na onyango na inonga kiunga mkabaji mwengine na mshamuliaji mwengine wa kati je ataachwa Nani Kati ya hawa Mugalu, Kagere, Kanoute, Lwanga Kati ya hawa mmoja atabaki lazima tu na husi Kati ya mugalu na kanute mmoja ndo atabaki

1.CB wa kukaa na Inonga..
2.LB wa kumsaidia ZimbweJr, Gadiel hana msaada tena...
3.CM (Lwanga, Mzamiru, Mkude, Akpan, Kanoute ni kiungo chepesi sana..)

Mbele hakuna ulazima sana ila akipatikana namba 9, Kagere apewe mkono wa kwaheri...
 
Lwanga ,kagere ,na kanoute au mugalu walipaswa wasepe Kama kweli Simba Ina malengo makubwa tofaut na hapo ni uhuni tu unaendelea na msimu ujao visingizio visiwepo tukiambulia patupu.

Kosa kubwa lingine ni kumwacha mb3 asepe kirahis hakika huyu mwamba kimataifa alikua na msaada Sana japo kwa ligi ya ndani alikua kawiada maana wachezaji walishamsoma kwa uchezaji wake.
Bm3 abaki wa kazi gan? Mbna dhidi ya Orlando hakuwepo kule south, hatutaki drama sie. Nia ni usajiri wa ukweli na maana ufanyike.
 
BOSS KASUSA SIMBA WANASAJILI OVYOOVYO TU...

Na msiposajili vizuri tunachukua back 2 back mpaka 2030 huko
 
Mugalu atoshaa... hahaaaa kama namuona hiyo august akikosa goli akicheka huku akitafuna jojo....

Shambuliaji la hatari lisiloruhusu mabeki kupanda ndio kusema shambuliaji likabalo mabekii...

Hapo kwanza nchekee
 
Sacko,mugalu,kagere,inonga,onyango,lwanga,kanut,banda,phiri,okrah,chama,,,, bado 1 kk
Hapo inabidi wawili watoke ili tuingize watatu (ambao ni hitaji la team kwasasa), nimeona post ya club ya Simba Sc kuwa bado hawajaliza kutangaza usajili mpya, ngoja tusubirie.

Hata mwaka jana pre-season tulienda na Chama, Chikwende na akina Ndemla ila wote hao hatukuwa nao kwenye kikosi cha msimu uliopita, kwahiyo something will happen for sure.
 
1.CB wa kukaa na Inonga..
2.LB wa kumsaidia ZimbweJr, Gadiel hana msaada tena...
3.CM (Lwanga, Mzamiru, Mkude, Akpan, Kanoute ni kiungo chepesi sana..)

Mbele hakuna ulazima sana ila akipatikana namba 9, Kagere apewe mkono wa kwaheri...
Anakuja Ceasar Lobi Manzoki, Ugandan top scorer with 18 Premier league goals.

CB anakuja Outtar from Sudanese Premier League.

Kagere amebakiza mwaka mmoja kwenye usajili, labda atolewe kwa mkopo.
 
Hapo inabidi wawili watoke ili tuingize watatu (ambao ni hitaji la team kwasasa), nimeona post ya club ya Simba Sc kuwa bado hawajaliza kutangaza usajili mpya, ngoja tusubirie.

Hata mwaka jana pre-season tulienda na Chama, Chikwende na akina Ndemla ila wote hao hatukuwa nao kwenye kikosi cha msimu uliopita, kwahiyo something will happen for sure.
Nafasi imeisha, ili waingie watatu inabidi watoke watatu.
1) Inonga
2) Onyango
3) Kanoute
4) Lwanga
5)Sakho
6) Chama
7) Banda
8) Mugalu
9) Kagere
10) Okrah
11) Akpan
12) Phiri
 
Simba wanasajiri kwa ajili ya CAF na ligi kuu hawa wakina kagere,mugalu,Lwanga kama hawatomshawishi kocha watakua kwa ajili ya mechi za kimataifa tuu

Sent from my SM-G9650 using JamiiForums mobile app
 
Back
Top Bottom