Kwakuwa umesema mwenyewe, hakutakuwa na lawama.Hatujawahi kushindwa kumfunga Ahly pale kwa Mkapa. Atakufa tu. Ng'ombe atachinjwa kwa namna atakavyolala.
Hakuna mechi tutafungwa pale kwa Mkapa hata awe nani.
Ova
Kwa hiyo Sarpong na Molinga wapo kwe list pia?wachezaji wote wa kimataifa
#youngafrican#
Ken Mkapa, Said Mwamba, Salvatory Edward, Mrisho Ngasa, Stephen Nemes, Akida Makunda, Mohamed Hussein.Tujuzane wachezaji watatu bora kuwahi kuvaa jezi za Njano na Kijani yaani Yanga Sc. Mimi naanza na hawa.
Edibily Jonas Lunyamila
Nadir Haroub Ally Kanavaro
Nonda Shaban Papii
Tupe list yako...
Maulid Dilunga. Sunday Manara. Hassan Gobos.Tujuzane wachezaji watatu bora kuwahi kuvaa jezi za Njano na Kijani yaani Yanga Sc. Mimi naanza na hawa.
Edibily Jonas Lunyamila
Nadir Haroub Ally Kanavaro
Nonda Shaban Papii
Tupe list yako...