Wachezaji watatu bora kuwahi kucheza Yanga SC

Wachezaji watatu bora kuwahi kucheza Yanga SC

Hatujawahi kushindwa kumfunga Ahly pale kwa Mkapa. Atakufa tu. Ng'ombe atachinjwa kwa namna atakavyolala.

Hakuna mechi tutafungwa pale kwa Mkapa hata awe nani.

Ova
Kwakuwa umesema mwenyewe, hakutakuwa na lawama.
Uwe live tu...
 
Tujuzane wachezaji watatu bora kuwahi kuvaa jezi za Njano na Kijani yaani Yanga Sc. Mimi naanza na hawa.

Edibily Jonas Lunyamila
Nadir Haroub Ally Kanavaro
Nonda Shaban Papii

Tupe list yako...
Ken Mkapa, Said Mwamba, Salvatory Edward, Mrisho Ngasa, Stephen Nemes, Akida Makunda, Mohamed Hussein.
 
M
Tujuzane wachezaji watatu bora kuwahi kuvaa jezi za Njano na Kijani yaani Yanga Sc. Mimi naanza na hawa.

Edibily Jonas Lunyamila
Nadir Haroub Ally Kanavaro
Nonda Shaban Papii

Tupe list yako...
Maulid Dilunga. Sunday Manara. Hassan Gobos.
 
Back
Top Bottom