Wachezaji watatu bora kuwahi kucheza Yanga SC

Wachezaji watatu bora kuwahi kucheza Yanga SC

Method Mogella 'Fundi' alicheza timu gani kati ya Simba au Yanga?
 
Shida ya Wachezaji bora hupigana na wakati uliopo. Wahenga Wangesema: Pondamali, Mkambi na Sunday Manara nk. Hawa walikuwa juu sana wakati wao.

Kwa Wahenga wa kati wangekuambia ni Lunyamila, Chambua na Kizota nk.

Kwa Vijana wangekuambia Kanavaro, Ngasa na Msuva nk.

Hivyo inategemea wewe unatoka kizazi gani.

Sent using Jamii Forums mobile app
 
1- Abduraman Jumaa
2-Maulid Dilunga
3- Yanga Fadhil Bwanga
 
Oscar joshua


Mpaka 1975, yaani mwisho wa Yanga ya ukweli. Though tricky,

Option 1: Omary Kapera, Gilbert Mahinya( huyu alikuwa World Class, kama Franz Backenbeur, alitokea Sunderland/Simba?) na Maulidi Dilunga.
Option 2: Leodgard Tenga, Abdrahaman Juma na Sunday Manara
Option 3 : Jela Mtagwa, Muhaji Muki na Gibson Sembuli
 
Back
Top Bottom