Ahmed AmashaTujuzane wachezaji watatu bora kuwahi kuvaa jezi za Njano na Kijani yaani Yanga Sc.
Mimi naanza na hawa;
Edibily Jonas Lunyamila
Nadir Haroub Ally Kanavaro
Nonda Shaban Papii
tupe list yako...
Omar Hussein na
Abeid Mziba
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Ahmed AmashaTujuzane wachezaji watatu bora kuwahi kuvaa jezi za Njano na Kijani yaani Yanga Sc.
Mimi naanza na hawa;
Edibily Jonas Lunyamila
Nadir Haroub Ally Kanavaro
Nonda Shaban Papii
tupe list yako...
[emoji15] [emoji15] [emoji15] [emoji15]Boniface pawasa,
Mafisango,
Okwi.
Victor cost nampoka nyumbaBoniface pawasa,
Mafisango,
Okwi.
Mhenga alipiga kimoko na juzi kwanza na 4 na wakali wenu jtkUlaya Okwi mbona kakaa miaka miwili kacheza zisizozidi dk 20 akaona bora aje achukue nssf yake kwa mbumbumbu fc
Sent using Jamii Forums mobile app
Nanyie alipofiwa dida mlipeleka rambirambi [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji22]Hivi rambirambi mshapeleka?
Sura yako na tying ni tofauti mwaaaaaaaaaa[emoji8][emoji2] [emoji3] [emoji2] [emoji3] [emoji2] [emoji3] Thubutu! wanazo sasa!
Sent using Jamii Forums mobile app
Jengo lenu limeponywa juzi baada ya yule teja kushindwa kulipa deni hahahahhaaLaana inawatafuna
Wenzako kenya wamegoma kukaa kimya atimae uchaguzi unarudiwa sasa wewe nyamaza wakuuwe kimya kimyaZote 2.
ACHA nikae KIMYA...!
Usije kimbia lkn kule mwishoni kuna ubaya gani kama atarudi hata Mara mia kama anafaaNimeipenda hii! Sijui Okwi amewapa mikia limbwata gani? Naanza kupata hofu na waganda, si mnaona Zari alivyomkamata Nasibu!
Sent using Jamii Forums mobile app
Padri Mcharo Constantine Kimanda huyu ni muislamu wa Shia eti hii ni comment namba 4... Nakutag kote afu uone ulivyodandia treni kwa mbele
Comment namba 6..Gibson Sembuli... Huyu nae ni muislamu wa Ahmadiya Padri McharoGibson Sembuli
Ahmed Amasha.
Yusufu bana
abeid mziba
Comment namba 13... Huyu nae ni muislamu wa SunniShadrack Nsajigwa ''Fuso".
Si umesema haujaona majina ya kiKristo.... Acha undina.....Bwana mdogo Mtoto wa nzi Umeona list kama hii???
Hebu nioneshe kuna kafiri hata mmoja hapo
Saidi Mwamba Kizota
Keneth Pius Mkapa
Edibily Jonas Lunyamila
Comment 38 na 27 namuona Kenneth Mkapa ni mmoja ya wale wanaooa watoto wadogo kama MTUME aliyefariki....na kushindwa kufufuka Padri McharoBoniface Ambani,Keny Mkapa na Sanifu Lazaro (Tingisha) mtoto wa Muleba _Butembo hapo.
Sent using Jamii Forums mobile app
Ukaamua kuchafua huu uzi,vepeeeee?Kitu nilicho notice katika list zote za watu hapo juu ni kuwa:
Karibu wachezaji wote Nyota waliotajwa ni Waislamu.
Isipokua Peter Manyika na Nsajigwa tuu...
Wengine wote ni Waislamu... Waislamu wako juu aisee..