Wachezaji watatu bora kuwahi kucheza Yanga SC

Wachezaji watatu bora kuwahi kucheza Yanga SC

Tujuzane wachezaji watatu bora kuwahi kuvaa jezi za Njano na Kijani yaani Yanga Sc.
Mimi naanza na hawa;
Edibily Jonas Lunyamila
Nadir Haroub Ally Kanavaro
Nonda Shaban Papii

tupe list yako...
Da kiukweli namkubali mmoja tu niliyewahi kumuona...
Mrisho khalfani ngassa...
Alikua balaa kinyama
 
Tendeni haki wekeni miaka ipi na mafungu ya miaka, pondamali mnamjua mnaotaja vikoroboi kama Peter manyika? Steven Nemesi mlimuona, Sunday Manara mlimuona?
 
Tujuzane wachezaji watatu bora kuwahi kuvaa jezi za Njano na Kijani yaani Yanga Sc.
Mimi naanza na hawa;
Edibily Jonas Lunyamila
Nadir Haroub Ally Kanavaro
Nonda Shaban Papii

tupe list yako...
Redio Tz akishika mpira Lunyamila unaweza kutoka roho ☹☹☹☹☹
 
Tujuzane wachezaji watatu bora kuwahi kuvaa jezi za Njano na Kijani yaani Yanga Sc.
Mimi naanza na hawa;
Edibily Jonas Lunyamila
Nadir Haroub Ally Kanavaro
Nonda Shaban Papii

tupe list yako...
itakuwa huijui vzr Utopolo. Ila kwa Lunyamila sawa. Hao wengine umepuyanga.
 
Siruhusiwi kumuweka na SARPONG hapa kwenye list wakuu nauliza tu??
 
Kwa niliowaona wakicheza

Said Mwamba "Kizota"

Constantine Kimanda

Edibili Jonas Lunyamila.
 
1. Edibily Jonas Lunyamila.
2. Nonda Shabaan 'Papii'.
3. Sunday Manara 'Computer'.
 
Back
Top Bottom