Mpira wachama mwisho simba tuKwa mtazamo wangu, wachezaji wenye uwezo wa kucheza Ulaya kwa sasa kutoka ligi yetu pendwa ya NBC ni:
1. Chama
2. Max
3. Yao
Wewe waonaje?
Wa Max mwisho IhefuMpira wachama mwisho simba tu
CHAMA BABU AENDE EUROPE KUFANYA NINI??Kwa mtazamo wangu, wachezaji wenye uwezo wa kucheza Ulaya kwa sasa kutoka ligi yetu pendwa ya NBC ni:
1. Chama
2. Max
3. Yao
Wewe waonaje?
Nashangaa! Toa chama weka jini makontro zizuu zizuwaaOngezea Pacome zou zou
hakuna hata mmoja wa kucheza ulayaKwa mtazamo wangu, wachezaji wenye uwezo wa kucheza Ulaya kwa sasa kutoka ligi yetu pendwa ya NBC ni:
1. Chama
2. Max
3. Yao
Wewe waonaje?
Chama huyu aliyeshindwa kucheza nje ya Simba?Kwa mtazamo wangu, wachezaji wenye uwezo wa kucheza Ulaya kwa sasa kutoka ligi yetu pendwa ya NBC ni:
1. Chama
2. Max
3. Yao
Wewe waonaje?
Chama uwezo wake ni apa tu ligi ya England hakuna mchezaji mwenye spidi ya konokono, ata timu ya taifa ana anzia sub sababu ya speed.Ongezea Pacome zou zou