Wachezaji watatu NBC premier league wenye hadhi ya kucheza Europe

Kwa mtazamo wangu, wachezaji wenye uwezo wa kucheza Ulaya kwa sasa kutoka ligi yetu pendwa ya NBC ni:

1. Chama
2. Max
3. Yao

Wewe waonaje?
Chama Hana hadhi tena ya kucheza uerope sio kwamba Hana kiwango ila umri haumpi kigezo hivo mtoe hapo. Uerope hawachukui wazee.
 
Kwa mtazamo wangu, wachezaji wenye uwezo wa kucheza Ulaya kwa sasa kutoka ligi yetu pendwa ya NBC ni:

1. Chama
2. Max
3. Yao

Wewe waonaje?
Bocco na Kibu...teh teh.
 
Kwa mtazamo wangu, wachezaji wenye uwezo wa kucheza Ulaya kwa sasa kutoka ligi yetu pendwa ya NBC ni:

1. Chama
2. Max
3. Yao

Wewe waonaje?
Max huyu wa mechi na Ihefu au yupi.

Najua unatania.
 
Mnaota nyie...hakuna mwenye uwezo wa kucheza ulaya akaja bongo...
HAKUNA
Huyu anaitwa nani? Alichezea timu gani Bongo? Alitokea team gani Congo/Burundi kuja Bongo? Akaenda kucheza team gani Europe?
a5cdf.jpg

Shabani NONDA
 
Kwa mtazamo wangu, wachezaji wenye uwezo wa kucheza Ulaya kwa sasa kutoka ligi yetu pendwa ya NBC ni:

1. Chama
2. Max
3. Yao

Wewe waonaje?
Kibu Denis
 
Back
Top Bottom