kikiboxer
JF-Expert Member
- Dec 22, 2017
- 3,668
- 9,809
Chama Hana hadhi tena ya kucheza uerope sio kwamba Hana kiwango ila umri haumpi kigezo hivo mtoe hapo. Uerope hawachukui wazee.Kwa mtazamo wangu, wachezaji wenye uwezo wa kucheza Ulaya kwa sasa kutoka ligi yetu pendwa ya NBC ni:
1. Chama
2. Max
3. Yao
Wewe waonaje?