Wachezaji watatu NBC premier league wenye hadhi ya kucheza Europe

Kwa mtazamo wangu, wachezaji wenye uwezo wa kucheza Ulaya kwa sasa kutoka ligi yetu pendwa ya NBC ni:

1. Chama
2. Max
3. Yao

Wewe waonaje?
chama ondoa, ana ubongobongo mwingi sana. Yao, Max, aziz na yule anayeweka nywele breach.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…