Khalifavinnie
JF-Expert Member
- May 19, 2017
- 2,796
- 2,367
Habarini wana simba sports chama kubwa kwa maneno kama kina dada wasusi wa mitaani,simba ni timu maarufu kwa kusindikiza na kuzisumbua timu zenye uwezo wa kisoka barani afrika,kiufupi tunaita timu sumbufu lakini si timu shindani,na mpaka leo ni timu ambayo haifahamiki inatafuta nini kwenye soka la kimataifa zaidi ya kuzisumbua timu pinzani..
Simba kama walivyo na desturi yao falsafa yao ni kukamia mechi za kundi ili kuvuka kwenda angalau robo,wakifika hapo porojo zote kelele na vibweko vya wendawazimu vinaishia hapo na mashabiki kuridhika kuwa ndiyo uimara na utamaduni wa timu yao kufikia hapo,wamecheza michuano ya kimataifa zaidi ya mara nyingi tuu katika hizo nyingi wakiwa na mahesabu mara4 huku 3 zikiwa robo ya club bingwa huku1 ikiwa ya shirikisho,tukigusia club bingwa wali BOMOLEWA na TP MAZEMBE,CAIZER CHIEF na WYDAD CASABLANKA huku shirikisho waki TANDIKWA na ORANDO pirates....
Awamu hizo zote simba kila akifika mtoano ni kipigo nyumbani,na hata makundi huvuka kwa machoko mchuzi,washabiki wa simba ni vibwengo halisi ambao timu yao ikiifunga timu kubwa barani africa wanaona wao sasa timu imemaliza kazi na wao wanaamini ndiyo wakubwa wa soka lakini kiuhalisia huwa ni mawazo na akili za wenda wazimu tu soka ni kutawala katika dhana ya kutwaa vikombe kwa kipindi kirefu yaani mara kwa mara,mfano hai ni AL AHLY wao ndio wakubwa wa soka la vilabu africa wanatwaa makombe mara kwa mara wakikosa msimu mmoja basi ujao watabeba tuu na muda mwingine huwa wanatwaa back to ba back...
Ukikutana sasa na vibwengo wa timu yetu pendwa hapa tanzania wao ni makelele tuu kwanzia wasemaji wao wa tibu na mbana pua(wanamfaamu)kuwaaminisha uwongo na uzandiki dhidi ya sifa ya timu,kiuhalisia simba inamiliki wazee wengi kuliko vijana na ndio maana energy ya soka wanapokutana na timu shindani huwaishia na kutandikwa kama watoto,aiwezekani timu ikawa na...
CHAMA miaka 38
KAPOMBE miaka 39
BOKO miaka 43
MZAMIRU miaka 38
SHABALALA miaka 36
KIBU miaka 34
NTIBANZOKIZA miaka 41
NGOMA miaka 35
KANUTI miaka 33
INONGA miaka 34
MARONE miaka 32
PHIRI miaka 35
BALEKE miaka 34
MIQUISSOINE miaka 32
hao ndio key player wao kwamba ndo wafanye nini?,hata ligi ya tz nina wasiwasi wakaisikia kwenye bomba wasipoamka hii timu ikiplesiwa unaona kabisa inavyokata moto kwenye mechi dhidi ya prison walianza kutafuna muda dk ya60 na gori zao za ofside na penati ya machokumchuzi,,muda ujao nitaiongelea YOUNG DAR AFRICANI.....