Wachezaji wengi timu ndogo wanavuta ganja

Kwahiyo unataka kusema kile kinachosemwa kwamba bangi ina boost morally ya kupambania mafanikio ni kweli?
 
kuna wachezaji ukiwaangalia tuu sura zao unapata wasiwasi...Cannavaro, Mkude, na wengine kibao
 
mkuu unauliza majibu
Sawa, basi inafaida kuliko hizi nyingine , maana hizi nyingine haziamshi morally ya kupambana na mafanikio zaidi ya kupiga story za mpira kwenye mkahawa wa jirani
 
Sawa, basi inafaida kuliko hizi nyingine , maana hizi nyingine haziamshi morally ya kupambana na mafanikio zaidi ya kupiga story za mpira kwenye mkahawa wa jirani
ndohivyo mzee baba...lile jani lina uwezo wake tofauti na kilevi chochote
 
Reactions: sab
Basi wazee wa sebule waipitishe tu
itapitishwa tu maana kuna baadhi wameshaona umuhimu wake na wanafanya jitahada ipitishwe...kuanza wao ndio wanaongoza kwa kulima hilo jani
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…