Turnkey
JF-Expert Member
- Jul 9, 2013
- 7,359
- 5,837
Mkude na YondaniNyoso
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Mkude na YondaniNyoso
hapo kwa Asante Kwasi nakuunga mkonoBoban, okwi na Asante kwasi
mkuu unauliza majibuKwahiyo unataka kusema kile kinachosemwa kwamba bangi ina boost morally ya kupambania mafanikio ni kweli?
Sawa, basi inafaida kuliko hizi nyingine , maana hizi nyingine haziamshi morally ya kupambana na mafanikio zaidi ya kupiga story za mpira kwenye mkahawa wa jiranimkuu unauliza majibu
ndohivyo mzee baba...lile jani lina uwezo wake tofauti na kilevi chochoteSawa, basi inafaida kuliko hizi nyingine , maana hizi nyingine haziamshi morally ya kupambana na mafanikio zaidi ya kupiga story za mpira kwenye mkahawa wa jirani
Basi wazee wa sebule waipitishe tundohivyo mzee baba...lile jani lina uwezo wake tofauti na kilevi chochote
itapitishwa tu maana kuna baadhi wameshaona umuhimu wake na wanafanya jitahada ipitishwe...kuanza wao ndio wanaongoza kwa kulima hilo janiBasi wazee wa sebule waipitishe tu