Wachezaji wenye akili na hatari zaidi Mamelodi

FK21

JF-Expert Member
Joined
May 27, 2019
Posts
8,600
Reaction score
10,760
Najua wengi Jana tuliuangalia mpira wa Mamelody vs Al AHLY lakini ni wachache tulioangali Kwa jicho la tatu na kung'amua vipaji haswa katika kikosi kile.

1. Kuna beki mmoja wa kati kitasa haswa sura ya mama anaitwa GRANT KEKANA
Uyu bwana mdogo matumizi ya akili ni makubwa mno sawa na umchukue BACCA +INNONGA ndiyo unampata.

2. Kuna Jamaa niliezoea kumuona akicheza kama beki wa kati Jana alikuwa kiungo kutokana na kutokuwepo Kwa MOKOENA jamaa alifit na aliupiga mwingi Sana anaitwa AUBREIN MODIBA appreciation post yake hii ni anaajua kuamua mpira uchezwe Kwa speed gani Kwa sasa.

3. ALLIENDE kijana tutoka chille uyu Sina comment [emoji119]

HAO NDIYO NILIO WAONA NI ROHO YA TEAM KWA JANA.
 
Mudau kawazidi wote hao. Yeye ni beki namba 2, Akiwekewa Watu tofauti tofauti kama wanne namba 11 za Ahly,akaishi nao
Uyo nimemuacha ila hao ni unsung hero
 
Mkuu umemsahau yule Full back right wao. Ni mtu na nusu (Yao Yao + Kapombe).
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…