Wachezaji wenye akili na hatari zaidi Mamelodi

Williams ni kipa japo jana mipira ilikua haikai mikononi ila ana kitu
Tukimuuza Diarra kwenda ulaya (zipo tetesi Manchester United, na Inter milan zinahitaji huduma yake) msimu ujao, pesa tutakazo zipata, tukilete hicho chuma pale Jangwani.
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
 
Basi wale wavaa njano wanajiona na wao Mamelod kisa na wao wanavaa njano.... hahahaa yani wanajikuta wanaota....
Jana Baasha wenu kabanduliwa michuanoni.

Ngoja akija na hapa, utamuonea huruma.
 
Mzamiru anatumia AKILI?????
Me mwenyewe ni mwananchi, lakini Mzamiru namkubali kinoma.

Huwa namshangiliaga sana unapokua timu ya taifa.
Kiufupi Taifa stars bila mzamiru hicho kikosi huwa sikiungi mkono.
 

Kufika huko inawezekana, uwekezaji tu.
Pesa
 
Mbona lugha ngeni hii...au ndo unamaanisha mwiko nyuma??
Nilikua namaanisha yule huwa anawafanyaga kitu mbaya, jana katolewa kwenye michuano.

Au niongee kimakua ndio utanielewa?
 
Team zote zile za jana wakikutana na yanga zinakufa nyingi nikiripoti kutoka jangwani.
 
Mfano Marumo alimtoa Pyramid
 
Ronwen Williums.
Khuliso Mudau.
Mothobi Mvala
Grant kekana.
Abdelmounaim Boutouil
Thapelo morena.
Thebohi mokoena.
Bongani Zungu
Marcelo allende

MNYAMA THEMBA ZWANE.......
 
Mamelodi wakitulia wanawatoa Ahly ila kuna mistake wanafanyaga wanapenda sana show game
Sema sina hofu sana maana Ahly anapajua bondeni vizuri
 
Kuna beki yao ya kulia fundi sanaaa anajua alafu anajua tena, jamaa anakupa kila kitu unachohitaj kutoka kwa beki wa pembeni
 
Wanatakiwa wajifunze timu za kiarabu ukipata nafas funga waache usharobaro wa kuchezea nafas
 
Sio inasemekana ni ukweli na ndiyo team ya mapenzi yake pale yupo kazini tu
Ni kama huku bongo manara kuwa yanga wakati damu yake ni simba na Ahmed ally kujifanya ni simba wakati huyo ni yanga lialia ila kinachotafutwa ni pesa tu
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…