Rajab_Omar
JF-Expert Member
- May 15, 2016
- 16,482
- 27,182
Ni timu gani Messi amekutana nazo zaid mara nyingi zaidi ya hizo ulizotaja?
Ni Chelsea! Unabisha au?
Chelsea Katika Michezo Niliyoishuhudia Mimi Basi Messi Amekutana Nayo Mara 6! (Kaifunga Goli 1).
Liverpool Mara 2 (2007 Hajaifunga goli Hata Moja).