Rajab_Omar JF-Expert Member Joined May 15, 2016 Posts 16,482 Reaction score 27,182 Mar 1, 2018 #21 Aleyn said: Ni timu gani Messi amekutana nazo zaid mara nyingi zaidi ya hizo ulizotaja? Click to expand... Ni Chelsea! Unabisha au? Chelsea Katika Michezo Niliyoishuhudia Mimi Basi Messi Amekutana Nayo Mara 6! (Kaifunga Goli 1). Liverpool Mara 2 (2007 Hajaifunga goli Hata Moja).
Aleyn said: Ni timu gani Messi amekutana nazo zaid mara nyingi zaidi ya hizo ulizotaja? Click to expand... Ni Chelsea! Unabisha au? Chelsea Katika Michezo Niliyoishuhudia Mimi Basi Messi Amekutana Nayo Mara 6! (Kaifunga Goli 1). Liverpool Mara 2 (2007 Hajaifunga goli Hata Moja).