Wachezaji wetu wazawa wanakwama wapi? Kila tetesi ya kutakiwa na timu za nje ni wageni tu? Why siyo wazawa?

Huu mjadala huwezi kukutana nao popote, heko mleta mada
 
Na kwa Msisitizo Job , bakari na bacca wapo kwenye first xi ya Cafcc 2023
Wachezaji wa kibongo kuishi mbali na Tanzania hawawezi, nje unalipwa kwa kile kilocho ktk mkataba, hakuna ofa ofa za bia na mademu kama bongo
 
Wachezaji wetu hawana connection na hawataki kuwa nayo maana hawataki kusimamiwa na kuwalipa kidogo pesa mawakala na mameneja........ dunia ya saizi lazima utoe ndiyo upate sasa wetu wanataka wapate tu......Kwa kisingizio Cha wao ndiyo wataingia uwanjani.
 
Wachezaji wenyewe shule hamna , wanatakiwa wakubali ku-evolve , mambo ya et manager ni mshkaji kisa mmetoka mbali ni ujinga ... Mwanamziki Diamond mbali ya uwezo wake kutokuwa mkubwa Ila alikubali lawama na kuwatema managers wake waliokuwa wanathink locally , na kuamua kutembea na akili kubwa Sallam SK , kama vip wamchek Mzee Sallam SK atawakutanisha na akina drogba chap tuu unapaa ... Watanzania kazi yetu kubwa ni kuficha akili yetu matakoni na kumwachia mwenyezi Mungu afanye kazi badala ya Sisi....
 
Watafute mawakala wa nje wenye ushawishi, na si kng'ang'ania mawakala wa ndani ambao wengi hawajiamini. Jambo jingine wachezaji wa ndani hawana chochote kichwani,hawajiamini... Fuatilieni elimu za wachezaji wetu muone.... Utaona ni std7, form2 basi!
 
Kwa bahati mbaya hatuja fundishwa kuanza maisha ugenini, mfano umwambie mwambie mwanao aende bukoba wakati mnaishi Tanga Ni lazima atabisha tu. Hilo ndio tatizo, tafauti ya wachaga na wewe ni mchaga hana uwoga wa maisha mapya.
 
Sasa mchezaji meneja wake Bin Kazumari unategemea atakwenda wapi?
 
shaffih dauda si wakala wamtafte haha
 
Kumbe majibu ya maswali yako unayo mwenyewe
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…