Wachezaji wetu wazawa wanakwama wapi? Kila tetesi ya kutakiwa na timu za nje ni wageni tu? Why siyo wazawa?

Wachezaji wetu wazawa wanakwama wapi? Kila tetesi ya kutakiwa na timu za nje ni wageni tu? Why siyo wazawa?

Wachezaji wazawa ndio hao akina Fei, unadhani kuna timu kubwa zenye mafanikio na zinazoendeshwa kwa weledi zitahitaji wachezaji aina ya Fei ambao wanavunja mikataba kihuni bila kufuata utaratibu? Hawa wataendelee kutumika humuhumu tu.
Fei fala kweli aisee.
 
Yaaani tuache ofa za bure za bia na mademu twende tukasimangwe abroad!!!?
hatuendi
 
wachezaji wazawa wengi sio professional bali ni semi professional hususani hawa wa Simba na Yanga wao ni mashabiki wa simba na yanga kuliko masilahi yao na future yao.Wanaridhika na sifa za kijinga kuliko maisha yao ni rahisi mchezaji kutoka academy bongo au timu ndogo kwenda nje na kufanikiwa zaidi kuliko hawa wa simba na yanga.
 
Back
Top Bottom