Wachezaji wote wa kigeni simba watemwe timu ianze upya

Simba inajituma na inacheza mpira wa kiwango Cha juu mno ukizingatia hata pale inapowakosa Nyota wake muhimu kina Chama na henock lakini Bado ball inatembea hii ndio maana halisi ya kikosi kipana chenye ubora Kila idara.
 
Tatizo lenu washabiki wa simba na yanga huwa mnaona timu zenu kama za malaika vile hazipaswi kufungwa wala kutoka droo.

Ambacho hamkijui ni kuwa wenzenu pia wamejiandaa ili washinde mechi.

Anafungwa man city akiwa full muziki na crystal palace ije kuwa simba na wachezaji wake wa kuunga unga!?
 
Simuoni Mgunda akila Iddi ya kuchinja pale Msimbaz🤣🤣🤣
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…