choza choza
JF-Expert Member
- Jan 17, 2019
- 2,081
- 3,831
List ni ndefu ila wa kwanza ni Ngoma, huyu mchezaji hawezi ifikisha Simba popote
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Alitoroshwa airport huyo.....teh teh...List ni ndefu ila wa kwanza ni Ngoma, huyu mchezaji hawezi ifikisha Simba popote
Hahahahaha labda kwa sababu yeye aliibiwa uwanja wa taifaUmesema ni wote na tumekuelewa, Sasa kwanini umemtaja ngoma pekeaka.
Hapa si ndio mlikuwa mnatamba kwamba huyu mmewapora Yanga mmewapora airport?List ni ndefu ila wa kwanza ni Ngoma, huyu mchezaji hawezi ifikisha Simba popote
Nadhani kwa sasa wangetulia kwanza ili wajiulize kisha ndio waanze kufikiria nn wafanye la sivyo watarudia makosaHapa si ndio mlikuwa mnatamba kwamba huyu mmewapora Yanga mmewapora airport?
Kama utatoa pesa za usajili sawa!List ni ndefu ila wa kwanza ni Ngoma, huyu mchezaji hawezi ifikisha Simba popote
hata hivyo mo ni jipu tayal..tena limeshaiva linahitaji kutumbuliwaLabda waanze na MO maana hata yeye ni mgeni kutoka India