Wachezaji wote wa kigeni simba watemwe timu ianze upya

Nimejaribu kumuangalia na kumfatilia vizuri, huyu jamaa tumepigwa
kwa upande wangu hapo simba nikiambiwa nichague wakwanza kwenda namchagua ONANA...maana ubisho mwingi.. anatembea kama anajipu kwenye tako...ety nae alikuwa MVP wa ligi frani!!
 
Hata mimi huwa nawashangaa. Kwamba wao Simba na Yanga kufungwa ni dhambi
 
kwa upande wangu hapo simba nikiambiwa nichague wakwanza kwenda namchagua ONANA...maana ubisho mwingi.. anatembea kama anajipu kwenye tako...ety nae alikuwa MVP wa ligi frani!!
Tunawasajili wakiwa wazuri huko, wakija huku wanaflop
 
Sio hoja hiyo simba na yanga w
Tatizo sio kufungwa, tatizo kwanini iwe sie mwaka wa tatu huu ilihali mpinzani wetu mkuu anabeba ndoo
Wamejimilikisha wao kushinda ni haki kupoteza kwao ni dhambi hapna hilo huo sio mchezo
 
simba kupata unafuu n mpaka samia atoke madarakan...saiz tuwe wavumilivu2...
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…