Wachezaji Yanga waendelea kugoma

Wachezaji Yanga waendelea kugoma

OKW BOBAN SUNZU

Platinum Member
Joined
Aug 24, 2011
Posts
53,868
Reaction score
121,001
Screenshot_2019-04-26-12-44-37~2.png

Ombi Maalumu
Sportspesa kama mdhamini wa Yanga jisikie aibu. Ile 100m mliyoiahidi Simba kama ingetinga nusu fainali wapeni hawa ndugu zetu.
 
Nawaonea huruma sana,kijana kama Ninja, Boxer wanavyojituma hivi halafu unaletewa mambo ya kiswahili
 
Tupeni lication ya wachezaji tupeleke hata nyanya wapike wale, utafikiri wako kalahari bhana wakati kuna bwawa pale pembeni na maji ya kutosha
 
Ukweli mchungu kabla ya kuwa mchezaji mpira .. wachezaji ni binadamu wanamahitaji mengi sana, kama pesa za kujikimu kimaisha maana maisha hayana huruma kabisa. Halafu ligi hii ipo mwishoni ikiisha hawatalipwa kitu hawa .. hamna atakaye wajali watatupwa na kupuuzwa. Ushauri wangu kwao wamevumilia sana na wamepambana katika hali zote . Zahera sio Mzazi kwao wala hatawasaidia kimaisha wasikubali pesa ndogo ndogo na ahadi hewa wakomae kudai stahiki zao maisha hayana huruma haya kwani umri wa kucheza mpira miaka ngapi???
 
Point kabisa mkuu... Wanaongelea uzalendo hadi kwenye haki ya mtu.
 
Mbumbumbu mnawashwawashwa endeleeni kununusa mechi, Yanga B wako wapi hapo
Acha ujinga... hoji ela mnayochanga inatumikaje??
Wanaowapa furaha hamtaki kuwapa haki yao, unaleta kwapa kubwa hapa kwenye maisha ya watu
 
Umaskini mbaya sana,kwanini simba tusitoe japo hela kidogo kama m200 tulizopata kule klabu bingwa tuwape ndugu zetu maana hakuna raha ya ligi
 
Tupeni lication ya wachezaji tupeleke hata nyanya wapike wale, utafikiri wako kalahari bhana wakati kuna bwawa pale pembeni na maji ya kutosha
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
 
Back
Top Bottom