Wachezaji Yanga waendelea kugoma

Wachezaji Yanga waendelea kugoma

Acha ujinga... hoji ela mnayochanga inatumikaje??
Wanaowapa furaha hamtaki kuwapa haki yao, unaleta kwapa kubwa hapa kwenye maisha ya watu
Si nlisikia mdau mmoja wa Yanga anadai pass word wanazo kina Yondani, kwa nn wasizitoe,,

Na huu uchaguzi wao lini?
 
Ukweli mchungu kabla ya kuwa mchezaji mpira .. wachezaji ni binadamu wanamahitaji mengi sana, kama pesa za kujikimu kimaisha maana maisha hayana huruma kabisa. Halafu ligi hii ipo mwishoni ikiisha hawatalipwa kitu hawa .. hamna atakaye wajali watatupwa na kupuuzwa. Ushauri wangu kwao wamevumilia sana na wamepambana katika hali zote . Zahera sio Mzazi kwao wala hatawasaidia kimaisha wasikubali pesa ndogo ndogo na ahadi hewa wakomae kudai stahiki zao maisha hayana huruma haya kwani umri wa kucheza mpira miaka ngapi???
Yuke kipa aligoma, Zahera akamtimua kabisa ktk timu,
 
Kutesa kwa zamu... Walitutesa sana kipindi cha Malinzi...
Eti timu ya Wananchi ,[emoji23][emoji16][emoji3][emoji4][emoji5][emoji1][emoji1][emoji1][emoji28][emoji38][emoji6] wachezaji wako hoi
Nauza yanga mbovu na dola chakavu.....
Nauza yanga mbovu na dola chakavu....
Nauza yanga mbovu na dola chakavu....
 
hata ulaya kumbe haya mambo yamo!
Screenshot_2019-04-26-17-54-48.jpeg
 
Nani kakwambia picha ina husiana na maelezo
Wewe jamaa kila siku kuinanga Yanga . Vipi kocha wenu Kitambi haonekani kwenye benchi . Za chini ya busati Uchebe analiwa na Yule muarabu kocha wa viungo . Wakaona Kitambi gozi gozi
 
Back
Top Bottom