1kush africa
JF-Expert Member
- Dec 13, 2016
- 9,552
- 13,090
Si nlisikia mdau mmoja wa Yanga anadai pass word wanazo kina Yondani, kwa nn wasizitoe,,Acha ujinga... hoji ela mnayochanga inatumikaje??
Wanaowapa furaha hamtaki kuwapa haki yao, unaleta kwapa kubwa hapa kwenye maisha ya watu
Na huu uchaguzi wao lini?