Sio meza tuu hata makalio yenu yakikaa vibaya tunayapinduaWatapindua meza hawa ?
[emoji1787][emoji1787]Sio meza tuu hata makalio yenu yakikaa vibaya tunayapindua
Kwa uongoz wetu hata wachezaj hawapatagi kitu...bado kuna makona kona mengi sana kweye soka la kibongo haswa yangaDah!...wanajiharibia wenyewe sasa! Wakishinda na kuingia makundi kuna 1.5 billion inawasubiri hivyo wakomae pesa ipo.
Naona Nyika bado unatapatapaKwa uongoz wetu hata wachezaj hawapatagi kitu...bado kuna makona kona mengi sana kweye soka la kibongo haswa yanga
Benchi la ufundi halijalipwa miezi mitatu ko wanawatumia wachezaji kugoma ili wapewe chao. zahera kaishiwasababu nini tena jamaa mbona game imefika ndio wanagoma
Inamaana hujui mimi ni timu gani???Naona Nyika bado unatapatapa
Ulichoandika kinasadifu matendo yako, endelea kutawaziwa mr. Chichiman.Umeandika kama Mwanamke anayewahi kujitawadha
Wamegoma kufanya nini? Lini? Source ya taarifa?
Mwenyekiti si ni Dr. yule?Kwa pale yanga sishangai...
Nina wasiwasi sana na wale viongozi tuliowachagua kama wapo timamu kichwani.
Hizo hela wakichukua watazigawana wao wachezaji?Wapuuzi Sana..badala ya kukomaa waingie makundi wachukue pesa wao wanagoma
Gombana nae tu mkuu yupo online naonaMimi huwa nagombana na mtu anaeleta habari za magazeti
Waishinde Zesco pale Zambia? NEVER. Kushinda njaa wanaweza, lakini siyo kuishinda Zesco kwenye home ground yao.Dah!...wanajiharibia wenyewe sasa! Wakishinda na kuingia makundi kuna 1.5 billion inawasubiri hivyo wakomae pesa ipo.