Wachezaji Yanga wagoma

Wachezaji Yanga wagoma

Dah!...wanajiharibia wenyewe sasa! Wakishinda na kuingia makundi kuna 1.5 billion inawasubiri hivyo wakomae pesa ipo.
 
Tupieni namba za bakuli Lao nitupie walau haka Ka 700
 
Dah!...wanajiharibia wenyewe sasa! Wakishinda na kuingia makundi kuna 1.5 billion inawasubiri hivyo wakomae pesa ipo.
Kwa uongoz wetu hata wachezaj hawapatagi kitu...bado kuna makona kona mengi sana kweye soka la kibongo haswa yanga
 
Wapuuzi Sana..badala ya kukomaa waingie makundi wachukue pesa wao wanagoma
 
Mpira wa kibongo noma sana full magumashi,yani timu inacheza klabu bingwa afrika lakini wachezaji bado wanagoma halafu shida yenyewe mishahara, sasa timu si iuzwe tu.
 
Dah!...wanajiharibia wenyewe sasa! Wakishinda na kuingia makundi kuna 1.5 billion inawasubiri hivyo wakomae pesa ipo.
Waishinde Zesco pale Zambia? NEVER. Kushinda njaa wanaweza, lakini siyo kuishinda Zesco kwenye home ground yao.
 
Back
Top Bottom